Nimeipenda hii ya Thailand

Nimeipenda hii ya Thailand

th14.jpg

Waziri mkuu tajwa shes so so... daah, kweli wakubwa wanafaidi!
​
 
No one is above the law! Bt not in African countries !


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijui wananch wanao wachagua hawana macho ww unampa kura wakati unajua ni mtu waunga .
 
kuna mademu wazuri jamaniiiiiii, hapa mzee wetu nina uhakika alikuawa na wakati mgumu sana.
Mkao unasema yote hayo ... hata kama ni mimi ningekuwa na wakati mgumu ila ningeshinda
 
Back
Top Bottom