Nimeipenda hii plate number T 107 TZA

Nimeipenda hii plate number T 107 TZA

Tuna utararibu wa kuwa na plate number binafsi pale mambo yanapokuwa ahueni
Nimejitafuta nimejipata nimetungua Ford raptor ya kijani full body..

Nimeona mitaani kuna plate number special kama T 2030 SSH. Basi na mimi nimeona niwe na hii T 107 TZA
mawazo yenu muhimu kwenye hili

View attachment 3376694
Una kipaji kikubwa cha muziki wa taarab
 
Back
Top Bottom