Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,765
- 50,859
Unagombea kupitia jimbo gani MkuuTuna utararibu wa kuwa na plate number binafsi pale mambo yanapokuwa ahueni
Nimejitafuta nimejipata nimetungua Ford raptor ya kijani full body..
Nimeona mitaani kuna plate number special kama T 2030 SSH. Basi na mimi nimeona niwe na hii T 107 TZA
mawazo yenu muhimu kwenye hili
View attachment 3376694