Nimeipenda hii picha

Nimeipenda hii picha

Mambo ya ku-boost self esteem!

Ila Becky nakuonaga mtu fulani strong kinoma uhitaji vimisemo kama hivi kukupa boost!

Nakuonaga high energy fulani hivi

Si kweli niko strong mkuu..niko vulnerable as anyone else...

Napenda wengine wajifunze,

Wapitie ama wasipitie njia niliyopita..lol
 
Ah ah sasa si unielekeze rebeka

Sijajua wewe ni Ambiele Kiviele au nani,naanza rasmi kukutafuta nijue wewe ni nani na kwa nini unanichukia...sina tabia ya kutafuta wana JF,lakini wewe umezidi..kila topic yangu lazima uandike mashudu yako...sikiliza, SIJALI kama wewe una kipato Zaidi yangu,una akili Zaidi yangu au lolote lile...wacha utoto mpuuzi wewe...anzisha topic yako uandike mashudu yako huko..usiwe unanichafulia mada zangu….mxiewwwwwwwwwwww
 
Nilijua tu dish limeyumba [emoji16][emoji16][emoji16] me nakwambia unielekeze unaanza kutoa povu

Hebu wahi haraka ukatibiwe,mental mkubwa ww
 
Kila siku uongee mbovu kila ukiona Rebeca kaanzisha topic..!!?? wewe na Rebeca nani amuone Daktari wewe mdada.?!..
 
Back
Top Bottom