Nimeipenda hii picha

Nimeipenda hii picha

Hahahahah hapana mkuu..siji kukuona..hii picha ni mwendelezo wa topic ile yangu nyingine ya 'Website ya mambo ya akili''..nimeitoa hio picha kwenye moja ya App za kiingereza.. ndio nikataka tuwe na yetu ila iwe kwa lugha ya Kiswahili..nitawaomba Mods waonganishe hizi topic..kama mnakua confused...😳😳😳[emoji4]
Kwa hyo una maanisha kwamba mgonjwa wa akili akiitazama hyo picha anapona'??

Rebeka Rebeka jamani
 
Copy hiyo url link hapo kwenye address bar alafu share.
This is what I mean

 
Back
Top Bottom