Congrats Dr. Kithuku,
Ushapata Player Hater Disease sasa usije hapa uka hate, lol!
Sasa wanaposema "The more you know the more you know you don't know" ni kweli au wazushi wana gele tu?
Ni vile tunaheshimu siku yako tu, ila kama sivyo tunge question huyo mungu kama kweli yupo au ni taadhima za kitamaduni na mapokeo tu.
Imekuwa so long mpaka nimesahau ulikuwa unachukua mkwepuo gani tena.
Tunahitaji vipanga zaidi hapa ili hili jamvi la "Great Thinkers" lisigeuke polepole kuwa kambi ya "Great Sinkers" kama alivyojisemea member mmoja hapa.