Nimeingia 2018 nikiwa bado nina Majonzi haya ya 2017

Pesa itaisha atarudi na ngoma mje kuuguza.

Mfanyieni harambee huko huko aliko mkamzoe. Shirikisha serikali ya mtaa, nunua na police mmoja.

Shenzy kabisa wanaume hawa.
 
Usijali Hela ya Mafao ikiisha atarudi nyumbani...
 
Ndugu Yangu Kira Linalotokea Katika Maisha Yako Lina sababu Hupaswi Kulalamika

Kulalamika Kwako Ni Kumkufulu Mwenyez Mungu

Unachotakiwa Ni Kuzidisha Maombi Tuu

Aombae Nae Atapewa
 
Awali ya yote napenda niwatakie heri ya mwaka mpya wapedwa wote na wana jf wote .

Kwa kweli ndugu zangu nimeingia mwaka 2018 nikiwa na majonzi ya baba yangu mzazi ambaye kwa sasa amekimbia familia yetu na kwenda kuishi na mwanamke na kumuacha mama na wadogo zangu tukiwa na majonzi sana.

Kiukweli hii hali hatukuizoea na miaka yote tulikuwa kila mwaka tunasherekea pamoja sasa hivi hayupo tena nyumbani anaishi sehemu nyingine.

Kilichotokea ni kwamba baada ya kustaafu kazi akiwa ni mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda flani cha saruji hapa mjini kipindi cha december kilichotokea ni kwamba baada ya kupokea mafao yake baada ya siku mbili alikimbia familia yetu na kwenda kuishi na kuanzisha maisha na mwanamke mwingine baada kupata pesa zake za NSSF .

kiukweli hili jambo linaniuma sana mpka limenifanya nimchukie sana baba yangu na kumlaani uko alipo .
Nakumbuka kabla ya kustaafu aliwahi kutuita watoto wake na kutuuliza kila mmoja aseme ni kitu gani anachokitaka kila mtu akazungumza ya kwake.

Lakini kilichokuja kutokea ni mzee kuikimbia familia na kuanzisha maisha mengine kiukweli hadi sasa napitia magumu sana.

Naombeni ushauli kipindi hiki roho inaniuma sana nimeingia mwaka mpya lakini bado nina majonzi ya mwaka jana
mpaka una tumia bando kupost huu uzi wewe ndio kiongozi mungu hata kupa wepesi
 
Mzee ni kumpongeza, maana anakufundisha jinsi ya kujitegemea mapema.

Angekufukuza nyumbani ungeona anakunyanyasa, sasa amewaachia nyumba kabisa.

Ni lazima tukubali hiki kizazi chetu ni legelege sana, zamani wazee wetu walianza kujitegemea wakiwa na miaka 20 tu, leo jitu mpaka lina 40 liko kwa Baba linakula bure.

Sometimes mzee kama huyo ni wa kumshukuru anakufundisha maisha through hard way.
 
1992,baba alitutelekeza tukiwa watatu,pamoja mama,hakuwahi kurudi mpaka leo ni miaka26,tumekua kwa nguvu ya mama ,tumeoa,tumejukuu,ila yupo arusha tu hapo,sisi morogoro,miaka michache iliyopita ameanza kututafuta,maisha yampiga hasa kufikia kuzuiwa kutoka hospitali kwa kushindwa kulipa bili,alikuwa mfanyakazi katika benki fulani,
Si tumemkaushia tu,hata akifa hatutalia,wala kuhudhuria mazishi yake,na hata sisi tukifa.
MUmuombe mungu amrudishe kwenye mstari,ikishindikana basi.

Pambaneni na hali yenu!
Mungu awape nguvu!
Poleni sana lakini ugonvi wa mama yenu na baba yenu mnaujua mpaka akaondoka?Hata angefanya nini huyo ni babaako tu,hata angemuua mamaako ni babaako huwezi kumreplace.Usidhani utalipwa wema na unaowatendea mema,wanaokutendea wema mara nyingi ni wale uliowatendea uovu na wale unaowatarajia kuwepo wakati unashida kwa sababu uliwatoa kwenye dhiki kipindi fulani watakukana,maumivu ya kukanwa na watu hawa kundi la pili yanauma saaaana ndugu yangu.Wewe ni mtoto wakiume mrudishe mzee nyumbani atalipwa na mungu wewe huwezi kumlipa chochote.Msamehe mzazi wako kama vile unavyoweza kuwasamehe watu baki,mlipieni bili kama ameshindwa na akifa huzunika tu.Malipo mema kwa mtu aliyekufanyia uovu yanamuumiza zaidi,anajiona mjinga na mwenye kukosa akili.Ukilipa uovu kwa uovu unapata nini?Tafakari na umwambie mleta uzi kama unamuoana.Mwambie laana yake haiwezi kumpata babaake bali amuombee mungu apate uzima,afrya nzuri na amuombee sana huenda Mungu akarudisha hekima zake.
 
Isikuumize kichwa..... Niwakat Wa mama na wewe kujiongeza zaidi nakujifanyia maisha.

Huyo atarudi pesa zikiisha ,na akirudi msimpokeee ,fukuzia mbali!!. Mkimpokee basi msamehe.

Ila aturudi tuuu....tatizo ni atarudi hana kitu mfukon ,, anaumwa ,,n.k.
 
Awali ya yote napenda niwatakie heri ya mwaka mpya wapedwa wote na wana jf wote .

Kwa kweli ndugu zangu nimeingia mwaka 2018 nikiwa na majonzi ya baba yangu mzazi ambaye kwa sasa amekimbia familia yetu na kwenda kuishi na mwanamke na kumuacha mama na wadogo zangu tukiwa na majonzi sana.

Kiukweli hii hali hatukuizoea na miaka yote tulikuwa kila mwaka tunasherekea pamoja sasa hivi hayupo tena nyumbani anaishi sehemu nyingine.

Kilichotokea ni kwamba baada ya kustaafu kazi akiwa ni mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda flani cha saruji hapa mjini kipindi cha december kilichotokea ni kwamba baada ya kupokea mafao yake baada ya siku mbili alikimbia familia yetu na kwenda kuishi na kuanzisha maisha na mwanamke mwingine baada kupata pesa zake za NSSF .

kiukweli hili jambo linaniuma sana mpka limenifanya nimchukie sana baba yangu na kumlaani uko alipo .
Nakumbuka kabla ya kustaafu aliwahi kutuita watoto wake na kutuuliza kila mmoja aseme ni kitu gani anachokitaka kila mtu akazungumza ya kwake.

Lakini kilichokuja kutokea ni mzee kuikimbia familia na kuanzisha maisha mengine kiukweli hadi sasa napitia magumu sana.

Naombeni ushauli kipindi hiki roho inaniuma sana nimeingia mwaka mpya lakini bado nina majonzi ya mwaka jana
Kinachokuuma ni baba kutotimiza ahadi yake ya kuwagawia NSSF yake au kukosa uwepo wake?
Kwani umri wenu bado tegemezi? Kama alishawapa elimu basi nanyi tawanyikeni kila mtu akapambane na hali yake.
 
Mkuu pole sana inabidi sasa uizoee hali mlio nayo sasa na muanze maisha mapya tena,mwombeeni kwa Allah amuepushe na mabaya yaliopangwa kumpata huko aliko!!!
Naamini kuna siku atarudi akighalagala na kuwapigia magoti kuwa mmsamehe.
 
Awali ya yote napenda niwatakie heri ya mwaka mpya wapedwa wote na wana jf wote .

Kwa kweli ndugu zangu nimeingia mwaka 2018 nikiwa na majonzi ya baba yangu mzazi ambaye kwa sasa amekimbia familia yetu na kwenda kuishi na mwanamke na kumuacha mama na wadogo zangu tukiwa na majonzi sana.

Kiukweli hii hali hatukuizoea na miaka yote tulikuwa kila mwaka tunasherekea pamoja sasa hivi hayupo tena nyumbani anaishi sehemu nyingine.

Kilichotokea ni kwamba baada ya kustaafu kazi akiwa ni mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda flani cha saruji hapa mjini kipindi cha december kilichotokea ni kwamba baada ya kupokea mafao yake baada ya siku mbili alikimbia familia yetu na kwenda kuishi na kuanzisha maisha na mwanamke mwingine baada kupata pesa zake za NSSF .

kiukweli hili jambo linaniuma sana mpka limenifanya nimchukie sana baba yangu na kumlaani uko alipo .
Nakumbuka kabla ya kustaafu aliwahi kutuita watoto wake na kutuuliza kila mmoja aseme ni kitu gani anachokitaka kila mtu akazungumza ya kwake.

Lakini kilichokuja kutokea ni mzee kuikimbia familia na kuanzisha maisha mengine kiukweli hadi sasa napitia magumu sana.

Naombeni ushauli kipindi hiki roho inaniuma sana nimeingia mwaka mpya lakini bado nina majonzi ya mwaka jana

Pole sana kwa kilicho wa tokea msihofu kuweni na imani........Pesa zikiisha atarudi tuu nyumbani na hapo ndo atajua nn maana ya wanawake wa mjini
 
Poleni sana lakini ugonvi wa mama yenu na baba yenu mnaujua mpaka akaondoka?Hata angefanya nini huyo ni babaako tu,hata angemuua mamaako ni babaako huwezi kumreplace.Usidhani utalipwa wema na unaowatendea mema,wanaokutendea wema mara nyingi ni wale uliowatendea uovu na wale unaowatarajia kuwepo wakati unashida kwa sababu uliwatoa kwenye dhiki kipindi fulani watakukana,maumivu ya kukanwa na watu hawa kundi la pili yanauma saaaana ndugu yangu.Wewe ni mtoto wakiume mrudishe mzee nyumbani atalipwa na mungu wewe huwezi kumlipa chochote.Msamehe mzazi wako kama vile unavyoweza kuwasamehe watu baki,mlipieni bili kama ameshindwa na akifa huzunika tu.Malipo mema kwa mtu aliyekufanyia uovu yanamuumiza zaidi,anajiona mjinga na mwenye kukosa akili.Ukilipa uovu kwa uovu unapata nini?Tafakari na umwambie mleta uzi kama unamuoana.Mwambie laana yake haiwezi kumpata babaake bali amuombee mungu apate uzima,afrya nzuri na amuombee sana huenda Mungu akarudisha hekima zake.
Thanxx! But i pains a lot,hasa tulivyokwenda mgodini kutafuta vibarua tukiwa wadogo sana,mvua sisi,jua sisi,ukizingatia maisha yalikuwa safi hapo kabla,tulihisi dunia imetuangukia.nikiwaza hayo hata nikiwa nina nia ya kumsaidia naghairi. Even if alikuwa na ugomvi na mama,angetupatia sisi watoto elimu stahiki,ukizingatia alikuwa na kazi nnzuri na elimu pia,graduate wa makelele uganda .apambane tu na hali yake aisee mana hamna namna.
 
Isikuumize kichwa..... Niwakat Wa mama na wewe kujiongeza zaidi nakujifanyia maisha.

Huyo atarudi pesa zikiisha ,na akirudi msimpokeee ,fukuzia mbali!!. Mkimpokee basi msamehe.

Ila aturudi tuuu....tatizo ni atarudi hana kitu mfukon ,, anaumwa ,,n.k.
Well said mkuuu!!
 
Poleni sana...zikiisha atarudi nyumbani na atawaombeni msamaha
 
Awali ya yote napenda niwatakie heri ya mwaka mpya wapedwa wote na wana jf wote .

Kwa kweli ndugu zangu nimeingia mwaka 2018 nikiwa na majonzi ya baba yangu mzazi ambaye kwa sasa amekimbia familia yetu na kwenda kuishi na mwanamke na kumuacha mama na wadogo zangu tukiwa na majonzi sana.

Kiukweli hii hali hatukuizoea na miaka yote tulikuwa kila mwaka tunasherekea pamoja sasa hivi hayupo tena nyumbani anaishi sehemu nyingine.

Kilichotokea ni kwamba baada ya kustaafu kazi akiwa ni mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda flani cha saruji hapa mjini kipindi cha december kilichotokea ni kwamba baada ya kupokea mafao yake baada ya siku mbili alikimbia familia yetu na kwenda kuishi na kuanzisha maisha na mwanamke mwingine baada kupata pesa zake za NSSF .

kiukweli hili jambo linaniuma sana mpka limenifanya nimchukie sana baba yangu na kumlaani uko alipo .
Nakumbuka kabla ya kustaafu aliwahi kutuita watoto wake na kutuuliza kila mmoja aseme ni kitu gani anachokitaka kila mtu akazungumza ya kwake.

Lakini kilichokuja kutokea ni mzee kuikimbia familia na kuanzisha maisha mengine kiukweli hadi sasa napitia magumu sana.

Naombeni ushauli kipindi hiki roho inaniuma sana nimeingia mwaka mpya lakini bado nina majonzi ya mwaka jana
Aaaaa ungesema mapema, huku mbona kuna wataalamu wazuri tuu wangetenganisha hayo mahusiano machafu ya babako na changudoa na kurudi kwa mamako kumalizia maisha. Lkn bado mnataka arudi home au kashaishiwa?
 
Kinua mgongo kikiisha atarudi tu huyo hana uwongo wowote
 
Back
Top Bottom