Nimeingia 2018 nikiwa bado nina Majonzi haya ya 2017

Nimeingia 2018 nikiwa bado nina Majonzi haya ya 2017

Bro kikubwa jipe moyo najua maumivu yako na kweli yanauma na inaumiza sana na hata hivyo bado pesa zikimuishia lazima ataludi nyumbani saiv anachunywa na anaona raha lako life is circle bro lazima ataludi na akiludi atakuwa ameishiwa tena awwza kuludi na magojwa
Na ataanza kuwaomba msamaha huku akilia machozi ya kinafiki bro tunaingizwa kwenye majalibu ambayo kihuakika nivigumu kuyaepuka jipe moyo bro mwombe mungu amusamehe maana huyo bado ni mzazi wako tu wala usimwombee mabay.mungu mwwnyewe atamlipa
 
Thanxx! But i pains a lot,hasa tulivyokwenda mgodini kutafuta vibarua tukiwa wadogo sana,mvua sisi,jua sisi,ukizingatia maisha yalikuwa safi hapo kabla,tulihisi dunia imetuangukia.nikiwaza hayo hata nikiwa nina nia ya kumsaidia naghairi. Even if alikuwa na ugomvi na mama,angetupatia sisi watoto elimu stahiki,ukizingatia alikuwa na kazi nnzuri na elimu pia,graduate wa makelele uganda .apambane tu na hali yake aisee mana hamna namna.
Amewaomba msamaha?je unamkosea mungu mara ngapi kwa siku?umeliwazia hili?muda mwingine unaomba msamaha leo kwa kosa la kusengenymwingine unaomba tena msamaa mtu,haifiki jioni unamsengenya mwingine unaomba tena msamamaha kwa kosa hilo hilo na wewe sio mtoto mdogo.Everybody deserves a second chance in life,Hata kama alikosea vipi he is still your father,be man enough and let go.
 
Mkuu pole sana

Ila mdogo wako wa mwisho ana umri Gani?
Ni wa kike au kiume?
 
pole lakini usikae sana kwenye majonzi jipange nini cha kufanya, kila jambo linakusudi la MUNGU hivyo cha kwanza samehe kicha uchungu utapungua na utakuwa na uwezo wa kujua nini cha kufanya.
kumbuka wewe ni mwanaume na linaweza kuwa linatokea kwa ajili yako ukumbuke hayo maumivu sikuzijazo ili uendelee kuwa baba mzuri katika familia yako.
MUNGU hatawaacha atawinulia watu kwa ajili yenu
 
Pesa itaisha atarudi na ngoma mje kuuguza.

Mfanyieni harambee huko huko aliko mkamzoe. Shirikisha serikali ya mtaa, nunua na police mmoja.

Shenzy kabisa wanaume hawa.
tehe...tehe...tehhh.... wanume sio washenzi kila mwanaume unayemuona anatazamwa na zaidi ya wanawake saba(7) hivyo lazima kujua jinsi ya kuwashinda wanawake sita wasimchukue kama utabisha we bisha na mara nyingi wanawake ndo wanatengeneza mazingira na sisi bila kujua tunakamatwa kama mchezo wa kioo alikivunja nani japo hata mchezo huo wachezaji walikuwa wanawake wengi kuliko wanaume na eti wanaume ndo waliokamatwa kila siku
 
Pole sana mtoto msamehe baba yako na kumwombea kheli ata akipata shida uko aliko bado atarudi kwenu
 
Japo sijui sabab ya yy kuondoka ila inabidi upambane tu
 
Awali ya yote napenda niwatakie heri ya mwaka mpya wapedwa wote na wana jf wote .

Kwa kweli ndugu zangu nimeingia mwaka 2018 nikiwa na majonzi ya baba yangu mzazi ambaye kwa sasa amekimbia familia yetu na kwenda kuishi na mwanamke na kumuacha mama na wadogo zangu tukiwa na majonzi sana.

Kiukweli hii hali hatukuizoea na miaka yote tulikuwa kila mwaka tunasherekea pamoja sasa hivi hayupo tena nyumbani anaishi sehemu nyingine.

Kilichotokea ni kwamba baada ya kustaafu kazi akiwa ni mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda flani cha saruji hapa mjini kipindi cha december kilichotokea ni kwamba baada ya kupokea mafao yake baada ya siku mbili alikimbia familia yetu na kwenda kuishi na kuanzisha maisha na mwanamke mwingine baada kupata pesa zake za NSSF .

kiukweli hili jambo linaniuma sana mpka limenifanya nimchukie sana baba yangu na kumlaani uko alipo .
Nakumbuka kabla ya kustaafu aliwahi kutuita watoto wake na kutuuliza kila mmoja aseme ni kitu gani anachokitaka kila mtu akazungumza ya kwake.

Lakini kilichokuja kutokea ni mzee kuikimbia familia na kuanzisha maisha mengine kiukweli hadi sasa napitia magumu sana.

Naombeni ushauli kipindi hiki roho inaniuma sana nimeingia mwaka mpya lakini bado nina majonzi ya mwaka jana
Pole
 
Back
Top Bottom