Nimeikuta sehemu

Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?

Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316
Ndio wanapaswa kuwa huru.

Faida:
1. Itajulikana nani kati yao ana ngumi na kofi kali zaidi na leyenye nguvu zaidi ya mwenzie.

2. Itajulikana nani ana matusi makali zaidi na ya nguoni zaidi mwenzake.

3. Itasaidia Jamii kujua kwenye tendo nani ni dhaifu zaidi ya mwingine na ni mchafu zaidi.

Hasara:
1. Mauaji, uharibifu na kujeruhiana kimwili na kiroho.

2.Watoto kama wapo watapata tabu sana.

3.ni mapoyoyo tu ndio yatasameana

4. Uadui na uhasama utadumu daima na milele hadi kifo kiwatenganishe...
 
Dada nimekuelewa sana, natamani siku moja nipate mpenzi mwenye upeo kama wako kuhusu hili swala la simu. Wapuuzi naowapata simu zao kama usalama wa taifa jinsi wanavyozificha kuzizoom ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…