supermario
Member
- Dec 2, 2011
- 48
- 15
Status 1 ikiwa ndefu hawasomagi, ila mtu huyo huyo atasoma fupi fupi mia!:
Mnisamehe kama ntakuwa mkali kidogo, ni hivi, kama kilicho ndani ya nyumba thamani yake haifiki laki, nawe una milango miwili, huwezi enda nunua kufuli mbili za laki laki. Kimantiki, gharama ya ulinzi (laki mbili za kufuli) isizidi kinacholindwa nazo. Mfano Jakaya analindwa kwa mamilioni kila siku, kwa sababu mpuuzi akitokea na kumuua, Uchaguzi mpya utatakiwa na utatugharimu sana, gharama kubwa kuliko ulinzi wake, pia 'hadhi' ya jeshi na jina letu kimataifa litashuka, hata utalii utashuka, mtalii gani atapenda aende nchi ambayo wameshindwa hata kumlinda Rais wao? Itakula kwetu. Kimantiki, Msafara wa JK unastahili uwe wa askari wa hali ya juu na watumie kila zana kumlinda. Ni lazima. Hata kama mie ni Chadema, nasema JK alindwe na Makomandoo hasa, hapa ni uchumi na sio siasa ama vyama - maslahi ya Taifa.
.
Sasa iweje likampuni likubwaa liandae futari ya yatima 50, halafu waje waandishi wote wa habari -tv, radio hadi magazeti na magari yao spesheli, (ofkozi na wablogu pia - wa blogu aje mmoja tu wengine watapesti), polisi nao haooo kibao kulinda tukio la watoto 50 kulishwa futari ya nusu saa, wakati futari sahani buku2, sahani 50 ni laki tu. Gharama ya kuita waandishi ni mamilioni, futari laki, usaniii!
.
Hii nchi ni ya kisanii sana, ofisi ya sirikali ndani ina benchi na meza na kijifaili cabin tu, ila inalindwa na Kampuni Kubwa kabisa ya Ulinzi na inalipwa malilioni kwa mwezi, kisa kampuni anaimiliki Boss wa serikalini, ela inarudi kwake.
.
Tusiiseme serikali tu, na we dada kamshahara laki3 umehongwa gari umekubali, unaenda nalo job kila siku kutishia wenzio wajione si kitu, mafuta na service ya gari kwa mwezi ishapita hako kamshahara, unamudu vipi maisha kama sio msaniii na wewe? Na kaboyfriend chako nacho wala hakajashtukia kanachezewa game! Ila kiboy nacho si ni kisanii pia maana kina wengine mtaani. Usanii usanii tu ndo iliyobaki khabari ya mujini!