Nimeikubali UKAWA kwa kweli inatisha!

Nimeikubali UKAWA kwa kweli inatisha!

Teamubwabwa

Senior Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
172
Reaction score
59

Mgombea uraisi wa UKAWA akiwa katika kusaka wadhamini

MBEYA:
Akiwa mbeya amesema kipa umbele chake cha kwanza ni kutatua kero za maskini wa nchi hii kwa kuunda serikali itakayohakikisha babu seya anaachiliwa huru kutoka gerezani.

ARUSHA:
Akiwa arusha ametuhakikishia kuwa analifahamu tatizo la General Tyre.

MWANZA:
Akiwa mwanza ametuhakikishia kufahamu tatizo la samaki na meli ya mv bukoba.

Kwakweli nimemkubali mheshimiwa EDO kwa matatizo haya ameonyesha ukomavu na jinsi anavyo uchukia umaskini. Kwa miaka yake mitano atakuwa ameyatatua matatizo yetu watanzania.

Buree kabisaaa.
 
WATANZANIA WENYE AKILI TIMAMU LAZIMA WAMKUBALI LOWASSA NA UKAWA,yaani huwezi kumfananisha na yule sitawaangusha,Tunaamini katika utendaji wake. HATUITAKI CCM YA MAFISADI NA WEZI WA MALI ZA UMMA KWA MIAKA ZAIDI YA 50, kura yetu ni kwa LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.
 
si bora huyo kuliko mr. Sitowaangusha!! Hajui tuko chini tayari? labda aseme nitawasimamisha
 
Alipokuwa Zanzibar halisema kuwa atahakisha ataleta muungano waserikali 3,ambao itakuwa ni muungano wa kuheshimiana n wahaki
 
si bora huyo kuliko mr. Sitowaangusha!! Hajui tuko chini tayari? labda aseme nitawasimamisha

aisee umenena, tupo chini tunakanyagwa alafu tunaambiwa sintowaangusha watu wana maumivu wanazidi kupewa ahadi hewa.
 
Kwanini alichomoa u Waziri Mkuu? Umesahau?

Sijasahau, nakumbuka pia kuwa wawili hawa ni marafiki/walikuwa marafiki, ni wakati muafaka sasa kwa wao kutuhabarisha ukweli wa kilichosababisha aubwage U waziri mkuu na JK aseme ni ajali tu ya kisiasa.
 
Ukawa kwanza CCM baadaye. Tupishane wakati wa kula. CCM wameshiba
 
Kwanini alichomoa u Waziri Mkuu? Umesahau?

Alikuwa akilinda heshima ya serikali ya rafiki yake! Hata kina Mwakyembe walisema baadhi ya ukweli uliokuwa kwenye uchunguzi ule ulihifadhiwa maana kama ungeanikwa ungesababisha serikali nzima kianguka! Umesahau?
 
Back
Top Bottom