muungano wa kuiondoa ccm madarakani? au kuikomboa nchi? acheni njaa kila mtu atumie akili zake na maarifa kujiletea maendeleo binafsi katika ngazi ya kaya, baadae taifa kwwa ujumla, watoto wako wanalala njaa unawaza kuiondoa ccm madarakani. jitambueni.
wananchi wana hitaji huduma bora na si vyama lukuki
hata rais wetu Kikwete hajui,,hebu tusaidie wewe mkuu.
Wakuu nimefikiria sana na kutafakari nimeamua kuchukua maamuzi magumu.Niameamua kuhamia ACT chama "makini"!ninaombeni kusilimishwa mapema iwezekanavyo ili kukidhi vigezo vya chama "makini".Pia kwa kuwa mimi sio tapeli,naomba nipewe training ya utapeli ili niendani na kasi ya chama changu kipya!Mimi ni mnyiramba sio "Muha" je hapa itakuweje wana "makini" wa ACT!Kikubwa ni kwamba chama makini kina experience kubwa ya kuuza majimbo na kata,naombeni uzoefu,huku Iramba kuna dili ambayo CHADEMA inaipuuza,nipeni deal masela ili tu-make mahela
m.bwa mama ako kafie nyuma
Mnafikiria mtaiweza ACT kwa maneno hayo ya kangaa
Chama changu kipya na bendera yenye nyota.tunaanzia msikitini kwnd kwa watanzania wote mtupokee
mkuu usikubali kuingia kwenye mtego wa matusi.hata ukitukanwa; wewe jitahidi kujikita kwenye mambo unayodhani ni ya msingi.na wewe ukianza matusi, itakuwa inaturudisha kule kule.jiepushe sana kuingia kwenye mtego huo.
Ukiangalia juu hapo nimefuta kauli yangu baada ya kuisoma vizuri.sorry ndugu yangu.kuna ushauri hapo juu.naona ila una matusi mazito!! Samahani sana nimekukwaza.