Nimeidharau ITV

Nimeidharau ITV

Muda si mrefu itv wametoka kurusha habari inayohusu madawa ya kulevya,mhusika ni someone skuba,huyu mtu hata picha hawajaonesha zaidi ya majengo ya mahakama ya kisutu,hivi ni nini huyu mtu ni nani? Amewapa nn waandishi?
Ni wewe na akili yako fupi....
 
Muda si mrefu itv wametoka kurusha habari inayohusu madawa ya kulevya,mhusika ni someone skuba,huyu mtu hata picha hawajaonesha zaidi ya majengo ya mahakama ya kisutu,hivi ni nini huyu mtu ni nani? Amewapa nn waandishi?
Wamemuonyesha Scuba na wenzake wawili mmoja alificha sura yake na mwingine ana rasta ndefu sana
 
Muda si mrefu itv wametoka kurusha habari inayohusu madawa ya kulevya,mhusika ni someone skuba,huyu mtu hata picha hawajaonesha zaidi ya majengo ya mahakama ya kisutu,hivi ni nini huyu mtu ni nani? Amewapa nn waandishi?
Kwaio tu kisa hajaonyeshwa ulomtaka bas umedhaidharau ITV? Waswahili ata ucheze kwenye tope watasema unawatimulia vumbi
 
Back
Top Bottom