NIMEICHOKA no avaster. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NIMEICHOKA no avaster.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mkubwa Jalala, Oct 8, 2012.

 1. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina miezi muda sasa katika JF so naomba munielekeze kuweka picture kwenye profile tena kwa hasira nitaweka yangu na ya mke wangu nilie muoa kwa lazima baada ya kufumaniwa,
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  ukitaka kuweka avatar fuata hii link https://www.jamiiforums.com/usercp.php kisha pembeni kushoto tafuta sehemu imeandikwa MY SETTINGS, chini yake utapata option imeandikwa Edit Avatar.... Basi ukishafungua itakuonesha sehemu inayosema Upload Image From Your Computer: mbele yake kuna kiboksi kimeandikwa Browse, ki-click na moja kwa moja kwa moja itaingia kwenye system yako na utakachotakiwa kufanya ni kuchagua picha unayotaka kutoka mahali ulipoiweka kwenye system yako then unai-upload..

  Natumaini maelekezo yangu yatakusaidia....
   
 3. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Asante sana ndugu yangu kwa wema wako.
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Karibu....
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Na mie naomba nikupe password yangu unisaidie kuweka plz. Japo mie sijachoka kuwa faceless, its nice unajua.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  avaster?

  Haya ukishaweka tusimulie ulivyofumaniwa basi!
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  JF kuna vituko..
   
 8. J

  John W. Mlacha Verified User

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  avaster? We t@tanmo umejibu swali ambalo hujaulizwa
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Umbeya tu umekushika, mwone vile...

  Huyu Jamaa ni wa kule kwetu, sasa hapa amejisahau akatumia Kikwetu badala ya lugha ile enye mtaelewa. Ila alimaanisha Avatar...
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  TANMO, we si umeniringia....nimeishia kupiga umbea tu mie nitafanyaje..... loh tafadhali usimwambie Asprin
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Siwezi kukuringia Hane, si unajua wewe ndiye ulinifundishaga hii dunia?
  Hata nifanyeje wewe kwangu ni Mtakuja,,, Sema tatizo Umetujaza sana kwenye Fuso.. Lol
   
Loading...