Nimeibiwa vitu vyote vya ndani

Njoo nikupeleke handeni sehemu moja inaitwa kwamsisi,hivyo vitu vinarudi ndani ya saa 24 na wezi wakishavirudisha vyote wanasahau njia wanawashwa mwili mzima wanajikuna mpaka wanatoka damu,watazunguka eneo Hilo hapo kwako huku wanajikuna na kulia kwa uchungu mpka wewe useme either waondoke lakini umewasamehe au waondoke ila hujawasamehe.Mimi binafsi nilisema waondoke ila sijawasamehe,haikupita wiki wakaugua uchizi,ndani ya mwezi kila mmoja alikufa kwa kifo chake(walikua wanne)
 
Habari wana jamvi,

Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi.

Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi kinatafutika kama ilivyo kwa simu.

Msaada jamani kwa mwenye ujuzi maana nikimpata mwenye king'amuzi ndio nitamtolea uvivu.

Nawasilisha
Kaa Kwanza utulie ndo urudi
 
Duh....
 
Wezi wapo ila hii habari ya watu kubeba hadi vijiko huwa inatokea maeneo flani flani sasa kama mji wa kijanja kama Moshi una mambo hayo sijui.Au kuna demu wako kaamu kubeba vitu ahame navyo maana hali ni tete.

Baadhi ya maeneo Moshi si mazuri sana ni hatari tupu na ujinga ujinga wa vijana, eneo kama njoro sio ajabu
 
Habari wana jamvi,

Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi.

Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi kinatafutika kama ilivyo kwa simu.

Msaada jamani kwa mwenye ujuzi maana nikimpata mwenye king'amuzi ndio nitamtolea uvivu.

Nawasilisha
Buza hakufai
 
Pole sana mkuu,

Huu ni wakati mgumu ambao ni wewe ndio unajua uchungu wake kuliko yeyote.

Usiache kutoa taarifa kwa mamlaka za kisheria kuanzia ngazi ya mtaa hadi Polisi.

Utaambiwa mengi,Lakini baada ya taratibu hizo Usiache kumshukuru Mungu kwa mtihani aliokupa.

Naamini wameiba vitu,Ila hawajaiba Akili,nguvu na uthubutu uliokufanya kupambana na kujikusanya hata ukajipongeza kwa kuwa na vitu vyako mwenyewe.

Kuna siku maisha baada ya mtihani uliokupata.
 
Mkuu umeongea kwa hekima na busara sana,ubarikiwe sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom