Nndu wa Selote
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 733
- 521
dogo arrogant sana huyu..si ndo alikuja na post amepata mshahara 1.2 mill anataka oa ukute amelibeba limalaya limempiga kama yule malima moro alivyoachiwa smg tu..anakuja tuzuga eti mwizi kafungua dirisha kigamboni..huyu alikua guest malaya kamsafisha anatuzuga tuyeye mwenyew hajataka faraja wala msaada ametoa tu taarifa na mkwara amesahau FBI walishindwa kutrack iPhone ya mtuhumiwa
hahahaha atakuwa mgeni siyo buredogo arrogant sana huyu..si ndo alikuja na post amepata mshahara 1.2 mill anataka oa ukute amelibeba limalaya limempiga kama yule malima moro alivyoachiwa smg tu..anakuja tuzuga eti mwizi kafungua dirisha kigamboni..huyu alikua guest malaya kamsafisha anatuzuga tu
[emoji23][emoji23][emoji23]nisaidie polisi tena.. Labda polisi jamiiUtasaidia polisi
Madame S
Umeandika utadhani mwizi unamjua oh we haya[emoji23][emoji23][emoji23]nisaidie polisi tena.. Labda polisi jamii
Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
Loh!! Sio kwa msemo huu
Vitambulisho vya familia!!!!khaa hakuwa na maana hiyohahahaha atakuwa mgeni siyo bure
vitambulisho vingiii tena na vya familia anazunguka navyo[emoji3][emoji3] alafu analala kwa mshkaji mhmhmh
haya