Nimeibiwa simu Tecno W5 naweza kuipata kupitia TCRA?

Nimeibiwa simu Tecno W5 naweza kuipata kupitia TCRA?

Nenda katoe taarifa polisi then polisi watakuandikia barua ambayo unaeza peleka kwenye mtandao uliokua watumia then kule utapata kitu chaitwa printouts, ukishapata hyo printouts basi kazi itakua imepungua kwani mpaka waeza fuatilia hta wewe mwenyewe anaetumia simu yako kikubwa utahitaji escort ya polisi kwenda kumkamata mtuhumiwa waking BTW waeza nicheck kwa msaada zaidi
 
Kwanini nipoteze muda wakati leo Nilikua Polisi wamesema kuna polisi wataalamu wanaitafuta line itakayotumika ilimradi ninayo IMEI namba.

Post sent using JamiiForums mobile app
Sawa.ukiipata tuambie

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nenda polis kafungue kesi pata RB baadae kesi yako ikipata mpelelezi yeye ndiye mnaenda naye kwenye mtandao uliokuwa unatumia wanaitrack itaonekana mahali ilipo na anayeitumia na mpaka third part wa anayetumia kwasasa..
.
Kwenye mitandao ya simu au tcra hawawezi kukupa msaada bila kuwa na askar.
hili ni jibu sahihi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umenena bonge la point, una kuta mtu ana miliki hizo simu wanazo taka kila mtu awe nayo lakini sasa cha maana anacho fanya via hiyo simu hakipo zaidi kuingia humu jf nakuandika comments za kashfa tu.
Japo wanasema jf ni kwa watu ambao ni great thinker labda ilikuwa zamani enzi za desktop na simu za symbian lakini sasa hivi wengi walio humu uwezo wao wa kufikiri ni 1kb.

Hans Pol
Kweli kabisa Hans Pol
 
shukuru Mungu tu au muadhibu kwa albadili.......ukianza kufuatilia TCRA mara polisi itakutoka hela nyingi na muda utaupoteza bila ya mafanikio...
 
Endelea kutumia hyo simu uliyotumia kupost hapa jf... Ukiendelea kuifuatilia utapoteza mda wako na hela halafu isipatikane
 
watu wa jf kujifanya wa kishua....kumbe un'ya mtupu (in benas voice)
Umeona eeh walio wengi hujifanya mambo safi lakini ki uhalisia ni makapuku

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Endelea kutumia hyo simu uliyotumia kupost hapa jf... Ukiendelea kuifuatilia utapoteza mda wako na hela halafu isipatikane
Mwambie jambazi mwenzio basi anirudishie.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nenda katoe taarifa polisi then polisi watakuandikia barua ambayo unaeza peleka kwenye mtandao uliokua watumia then kule utapata kitu chaitwa printouts, ukishapata hyo printouts basi kazi itakua imepungua kwani mpaka waeza fuatilia hta wewe mwenyewe anaetumia simu yako kikubwa utahitaji escort ya polisi kwenda kumkamata mtuhumiwa waking BTW waeza nicheck kwa msaada zaidi
Asante mkuu kwa ushauri.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mwana JF Naomba kuuliza kama kuna mtu Mwenye kujua hili.
Ninayo IMEI namba ya simu.

Post sent using JamiiForums mobile app
HOW TO TRACE A MISSING OR STOLEN PHONE:
If you lose your mobile phone, you can trace it
without going to the police.
Most of us always fear that our phones may be
stolen at any time.
Each phone carries a unique
IMEI no. i.e. International Mobile Equipment
Identity No which can be used to track it
anywhere in the world.
This is how it works:
1. Dial *#06# from your mobile.
2. Your mobile phone shows a unique 15 digit.
3. Note down this number at a secure place
except in your mobile phone itself as this is the
number which will help trace your phone in case
of theft.
4. Once stolen, just E-mail this 15 digit IMEI
No. to cop@vsnl.net with details as stated
below:
Your name:____________________
Address:______________________
Phone model:_________________
Make:_________________________
Last used No.:_________________
E-mail for communication:_____
Missed date:___________________
IMEI No :_______________________
5.Your Mobile will be traced within next 24
hours via a complex system of GPRS and
internet, You will find where your hand set is
being operated and the new user's No . will be
sent to your email.
6. After this, you can inform the Police with
the details you now have.
Please Share This Very Important Message To Your Family And Friends
 
Umewahi kujaribu kama inafanya kazi, au ndio kupotezeana muda.
 
Nimejaribu mkuu nitaleta mrejesho.

papaa maglass
 
Back
Top Bottom