Nimeibiwa simu Tecno W5 naweza kuipata kupitia TCRA?

Nimeibiwa simu Tecno W5 naweza kuipata kupitia TCRA?

Polisi kuna kitengo cha Cyber crime ndio kazi zao hizi, hakikisha una risiti ya simu na IMEI no fungua jarada polisi utapewa lost report na utakabidhiwa mpelelezi (cyber crime police) ku track simu yako mahala ilipo kwa kutumia IMEI NO na itaonesha no ya simu inayotumia na location ilipo na mtamkamata kama kuku wa kizungu!
 
pilika zote hizo gharama yake ni bora anunue simu mpya tu,kikubwa ajifunze kutunza phonebook yake google...
Mkuu hebu elekeza namna ya kutunza kwa faida yetu wote tafadhali
 
Hivi kunafaida gani kuwa na simu ya 1m alafu hauna hata 2m kwenye account suala la Aina ya simu ni matakwa ya mtu maana mijitu mingine hata kiwanja haina wala asset Hana alafu anasim ya 1m pumbavu kabisaa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kazi kukaa kuponda SIM Za watu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wasamehe tu.utapoteza tu.muda wako

Post sent using JamiiForums mobile app
Kwanini nipoteze muda wakati leo Nilikua Polisi wamesema kuna polisi wataalamu wanaitafuta line itakayotumika ilimradi ninayo IMEI namba.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nenda kwanza katoe taarifa police huko utapewa utaratibu.

Hans Pol
 
Back
Top Bottom