Haya mambo ya kuponda simu ya mtu naona ni ya kishamba sana. Mtu hujikuna pale mkono unapofikia.
Zaidi ya signature kueleza aina ya simu, sijaona utofauti wowote wa michango ya mtu anayetumia tecno, iphone, samsung, htc, vodafone, h8401, h8501, lg n.k
Sina njaa, status inafaa sana kwa verified user.Simu status baba angu naona unajaribu kuhalalisha njaa zako.
Sina njaa, status inafaa sana kwa verified user.
Wewe mbona hujaweka signature? Hupendi status?Oooh wengine ni verified kule Cupertino Califonia sijui unasemaje hapo
Nenda polisi ukiwa na uthibitisho wa umiliki (risiti)Mwana JF Naomba kuuliza kama kuna mtu Mwenye kujua hili.
Ninayo IMEI namba ya simu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Ghali kivipi mkuu.Pole sana kwa Masaibu yaliokupata. Kama una hela nunua simu nyingine. Mtiririko wa matukio na utaratibu wa kuipata simu yako ni GHARI zaidi!
Post sent using JamiiForums mobile app
Fuata ushauri wa wadau hapo juu!Ghali kivipi mkuu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Asante.Fuata ushauri wa wadau hapo juu!
Post sent using JamiiForums mobile app
Unacheka kwa dharauu...[emoji23] [emoji2] [emoji1]ha ha ha dah mambo mengine yanafurahisha
Mskilize na Mdau post number 36!Ghali kivipi mkuu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Sijakuelewa mkuu.Yap.utaipata.uwa wanazipiga photocopy
Post sent using JamiiForums mobile app
Asante kwa ushauri.Nenda polisi ukiwa na uthibitisho wa umiliki (risiti)
Fungua jalada hapo , then polisi watakuandilia barua ambayo utaipeleka kwenye ofisi kuu za mitandao ya simu kwa kila mtandao.. Hapo wao utawaonesha ushahid wako na wao basi watakwambia imei yako inatumiwa ba namba gan..
Then watakupa na call log ya hiyo namba..
Meneja wangu aliibiwa il hizo details kapewa na anajua simu yake inatumika sana ikiwq mtaa gan .. Ndio wanaplot kumdaka huyo binti mwenye simu.
Ila hela za kiwi zitakutoka tu
Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app