Nimeibiwa simu Tecno W5 naweza kuipata kupitia TCRA?

Nimeibiwa simu Tecno W5 naweza kuipata kupitia TCRA?

Haya mambo ya kuponda simu ya mtu naona ni ya kishamba sana. Mtu hujikuna pale mkono unapofikia.
Zaidi ya signature kueleza aina ya simu, sijaona utofauti wowote wa michango ya mtu anayetumia tecno, iphone, samsung, htc, vodafone, h8401, h8501, lg n.k
Mkuu umenena bonge la point, una kuta mtu ana miliki hizo simu wanazo taka kila mtu awe nayo lakini sasa cha maana anacho fanya via hiyo simu hakipo zaidi kuingia humu jf nakuandika comments za kashfa tu.
Japo wanasema jf ni kwa watu ambao ni great thinker labda ilikuwa zamani enzi za desktop na simu za symbian lakini sasa hivi wengi walio humu uwezo wao wa kufikiri ni 1kb.

Hans Pol
 
Simu status baba angu naona unajaribu kuhalalisha njaa zako.
Status ipi unazungumzia mkuu?Watu waliozoea kutumia simu za gharama kubwa hawana kauli kama zako.Masikini jeuri.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ukipata simu yako tujulishe na sisi, jamaa hawapo serius kabisa, watataka uwape hela ndio watafute.
Hata ukiwapa simu haipatikani pia nimewahi kifuata hizo taratibu.
 
Status ipi unazungumzia mkuu?Watu waliozoea kutumia simu za gharama kubwa hawana kauli kama zako.Masikini jeuri.

Post sent using JamiiForums mobile app

Me sio mkuu baba angu hzo sim za gharama natumia toka nina miaka 20 unaijua Nokia N series wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Status ipi unazungumzia mkuu?Watu waliozoea kutumia simu za gharama kubwa hawana kauli kama zako.Masikini jeuri.

Post sent using JamiiForums mobile app
Simu status kwa kula kulala au wahongwaji.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa w5 ukienda huko tcra na galama zake bora ununue tuu ingine bro
 
Shingapi mana kuenda tuu tcra mpaka kutumia hyo gprs yao nikuanzia ela ndefu kama milioni mbili na kuendelea
Kama ni laki laki achana nayo
Sawa mkuu, nitajaribu yakinishinda basi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu, nitajaribu yakinishinda basi.

Post sent using JamiiForums mobile app

Je kuna polisi yoyote mnajuana nae ili iwe raisi

Kwasababu kwanza lazima uwe na file toka kituo cha polisi ndo uende huko na ukishaenda tcra kama wanakifaa inamaana ukodi tax au gari la polisi ili waweze kumtraki vzri nakumkamata vzri
So hapo tuu ni ela uwe nayo kama ni dar ndo utapata shida sana bola mikoani hakuna shda sana

Naenda bunju
 
Shida sio simu haifiki laki 2 bali imeibiwa na pesa. Hata kama ingekua simu tu ningefuatilia kwani ni haki yangu.

Post sent using JamiiForums mobile app

Sawa mkuu.

ila usije uza ng'ombe kufuatilia mbuzi.

Uwe na Jumapili njema.



 
Back
Top Bottom