Nimeibiwa simu Tecno W5 naweza kuipata kupitia TCRA?

Nimeibiwa simu Tecno W5 naweza kuipata kupitia TCRA?

Mwana JF Naomba kuuliza kama kuna mtu Mwenye kujua hili.
Ninayo IMEI namba ya simu.

Post sent using JamiiForums mobile app
Nenda polis kafungue kesi pata RB baadae kesi yako ikipata mpelelezi yeye ndiye mnaenda naye kwenye mtandao uliokuwa unatumia wanaitrack itaonekana mahali ilipo na anayeitumia na mpaka third part wa anayetumia kwasasa..
.
Kwenye mitandao ya simu au tcra hawawezi kukupa msaada bila kuwa na askar.
 
Hauwezi kuipata....simu siku hizi watu wanauza vizaa vinabei kubwa kuliko simu ikiwa nzima... Yaani kioo, betri., kamera hardware za ndani. Utapoteza muda na pesa bure. Siku hizi spare part zinadeal sana.
duu! Kwa style hii ni ngumu kuipata cm complete, hata akifatilia IME anaweza ishia kupata motherboard pekee!
 
Wewe mbona hujaweka signature? Hupendi status?

Kuweka au kutoweka sign sio kipimo cha status na kuongelea mie kutoweka tayari unadata kua natumia nin hapo unaumiza kichwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nenda polis kafungue kesi pata RB baadae kesi yako ikipata mpelelezi yeye ndiye mnaenda naye kwenye mtandao uliokuwa unatumia wanaitrack itaonekana mahali ilipo na anayeitumia na mpaka third part wa anayetumia kwasasa..
.
Kwenye mitandao ya simu au tcra hawawezi kukupa msaada bila kuwa na askar.

Mpaka uje kupata sim unakua ushatumia gharama za sim za hvo 4
 
Ulivyosema umeibiwa simu, umenikumbusha kitu ivi serikali aikemei makampuni yaliyopata tenda za kulinda pale Mlimani city na pale Magomeni NMB. Kuna wizi wa kufa mtu, mtu anatoka kuchukua pesa bank. Jamaa wanamlia taimingi ya kumuibia pesa na wengi wanakuwa na noah au ndio michongo na walinzi wa sehemu izo na watumishi wa bank zilizopo Mlimani city na pale Magomeni NMB bank [emoji542]
Njia kuu y'a kujilinda ni kuachana n'a hard cash money
 
Kwanza piga mtandao husika kuwajulisha simu yako umeibiwa ili waiblock laini yako ,Pili nenda kituo kikubwa cha Polis ukafungue kesi na utapata loose Report ya Polis. Tatu, Nenda TCSR ukiwa na Loose report ya Polis,IMEI, kwa msaada zaidi.KUMBUKA MAELEZO YAKO POLIS NDO YATAKUJA KUTUMIKA MAHAKAMANI PINDI MTUHUMIWA AKIKAMATWA, HIVYO HAKIKISHA UNAANDIKA VITU VYOTE ULIVYOIBIWA NA NAMNA ULIVYOIBIWA .
pilika zote hizo gharama yake ni bora anunue simu mpya tu,kikubwa ajifunze kutunza phonebook yake google...
 
Nenda polis kafungue kesi pata RB baadae kesi yako ikipata mpelelezi yeye ndiye mnaenda naye kwenye mtandao uliokuwa unatumia wanaitrack itaonekana mahali ilipo na anayeitumia na mpaka third part wa anayetumia kwasasa..
.
Kwenye mitandao ya simu au tcra hawawezi kukupa msaada bila kuwa na askar.
Gharama zote za nini hizo...

Maana hiyo cm haizidi 175,000/=

Atafute nyingine tu
 
Back
Top Bottom