Phobia
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,181
- 1,877
MayungaWasukuma haijalishi umri kwao uzuzu na ushamba ni jadi yao tu Kama yule msaka teuzi may....njaa

Na kile ki VITS chako ni kitoto cha gari ?Sasa mbona ukasema umeibiwa simu?! Infinix sio simu ni radio ya android.
Acheni umalaya .hizo ndo faida za umalaya ndo ukome ujana maji ya moto .moto wenyewe ndo huoHuyu binti nilimpata wiki mbili zilizopita tulikutana nae Buhongwa stendi Mwanza mida ya usiku saa 5 akaniuliza ni wapi atapata magari ya kwenda Misungwi kwa muda ule akanambia huku yeye ni mgeni.
Mimi nikamwambia kwa muda huu huwezi kupata gari. Akaonekana kuwa mnyonge sana. Kama mnavojua ujana, nikaona mbuzi kafia kwa muuza supu nikamwambia kama vipi twende kwangu ulale kesho uendelee na safari. Kweli akakubali tukaenda home usiku nikapiga shoo bila kutongoza kesho yake asubuhi akasepa ila tukaendelea kuwatunawasiliana.
Sasa jana asubuhi akanicheki akanambia kaja kwa sister wake mitaa ya Nyegezi tukakubaliana jioni au usiku atakuja kunitembelea. Kweli mida ya saa 3 usiku akawa amefika kitaa nikaenda kumchukua
Usiku tumelala fresh, sasa asubuhi nilikuwa na miadi ya kwenda Nyegezi stendi kutuma mzigo fulani nikawa nimemwambia akanambia freshi nitamkuta. Nikawa nimemwacha room pia ninaishi na dogo wa kiume naye yupo room kwake nikawa nimesepa.
Aiseee kuja kurudi binti hayupo na niliacha simu moja aina ya infinix kwenye charge nayo haipo.
Daah! Imeniuma sana sikutegemea
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jf mnachekesha sanaAmekwambia alipata dharula.Sasa,ukipata dharula utatembea kama unaenda kutupa taka jalalani?Lazima uondoke mbio huku unapiga na king'ora kwa mdomo.
Na ukapime pia,tukutane AngazaHuyu binti nilimpata wiki mbili zilizopita tulikutana nae Buhongwa stendi Mwanza mida ya usiku saa 5 akaniuliza ni wapi atapata magari ya kwenda Misungwi kwa muda ule akanambia huku yeye ni mgeni.
Mimi nikamwambia kwa muda huu huwezi kupata gari. Akaonekana kuwa mnyonge sana. Kama mnavojua ujana, nikaona mbuzi kafia kwa muuza supu nikamwambia kama vipi twende kwangu ulale kesho uendelee na safari. Kweli akakubali tukaenda home usiku nikapiga shoo bila kutongoza kesho yake asubuhi akasepa ila tukaendelea kuwatunawasiliana.
Sasa jana asubuhi akanicheki akanambia kaja kwa sister wake mitaa ya Nyegezi tukakubaliana jioni au usiku atakuja kunitembelea. Kweli mida ya saa 3 usiku akawa amefika kitaa nikaenda kumchukua
Usiku tumelala fresh, sasa asubuhi nilikuwa na miadi ya kwenda Nyegezi stendi kutuma mzigo fulani nikawa nimemwambia akanambia freshi nitamkuta. Nikawa nimemwacha room pia ninaishi na dogo wa kiume naye yupo room kwake nikawa nimesepa.
Aiseee kuja kurudi binti hayupo na niliacha simu moja aina ya infinix kwenye charge nayo haipo.
Daah! Imeniuma sana sikutegemea
Jamani😂😂😂😂😂Amekwambia alipata dharula.Sasa,ukipata dharula utatembea kama unaenda kutupa taka jalalani?Lazima uondoke mbio huku unapiga na king'ora kwa mdomo.
Kimasihara imekuponza[emoji16]Huyu binti nilimpata wiki mbili zilizopita tulikutana nae Buhongwa stendi Mwanza mida ya usiku saa 5 akaniuliza ni wapi atapata magari ya kwenda Misungwi kwa muda ule akanambia huku yeye ni mgeni.
Mimi nikamwambia kwa muda huu huwezi kupata gari. Akaonekana kuwa mnyonge sana. Kama mnavojua ujana, nikaona mbuzi kafia kwa muuza supu nikamwambia kama vipi twende kwangu ulale kesho uendelee na safari. Kweli akakubali tukaenda home usiku nikapiga shoo bila kutongoza kesho yake asubuhi akasepa ila tukaendelea kuwatunawasiliana.
Sasa jana asubuhi akanicheki akanambia kaja kwa sister wake mitaa ya Nyegezi tukakubaliana jioni au usiku atakuja kunitembelea. Kweli mida ya saa 3 usiku akawa amefika kitaa nikaenda kumchukua
Usiku tumelala fresh, sasa asubuhi nilikuwa na miadi ya kwenda Nyegezi stendi kutuma mzigo fulani nikawa nimemwambia akanambia freshi nitamkuta. Nikawa nimemwacha room pia ninaishi na dogo wa kiume naye yupo room kwake nikawa nimesepa.
Aiseee kuja kurudi binti hayupo na niliacha simu moja aina ya infinix kwenye charge nayo haipo.
Daah! Imeniuma sana sikutegemea
Watu wanaibiwa kirahisi mnoNdio pension yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila mmoja ni mbuzi na muuza supu kwa mwenzake.
Na alimpeleka mwenyeweWatu wanaibiwa kirahisi mno
Angekua mwema asingemlala hana wema wowote,uhuni tu unamsumbua na dem kamkomeshaMsipende mteremko bila kujuana, usijifanye mwema kumbe unadhamini gaidi
Kapigwa comeback ya nguvu anabaki kuleta uzi hapaSasa hapo wewe na yeye nani mbuzi na nani muuza supu? [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nimempigia cm nimemuwakia sana cha ajabu hana wasiwasi anasema hajachukua ila alipata dharula akaondoka na hapa ananitumia sms za kunilaumu mim kumuita mwizi ila kuna sister jirani alimuona akitoka huku anakimbia.naomba ushauri wenu wakuu.bado analazimisha mawasiliano nifanyeje