AsanteCha bure salamu[emoji28][emoji28], bora ungejifanya romantic ukamuomba akusindikize
Sasa hiyo K ulikuwa unaisokota bure.....Huyu binti nilimpata wiki mbili zilizopita tulikutana nae Buhongwa stendi Mwanza mida ya usiku saa 5 akaniuliza ni wapi atapata magari ya kwenda Misungwi kwa muda ule akanambia huku yeye ni mgeni.
Mimi nikamwambia kwa muda huu huwezi kupata gari. Akaonekana kuwa mnyonge sana. Kama mnavojua ujana, nikaona mbuzi kafia kwa muuza supu nikamwambia kama vipi twende kwangu ulale kesho uendelee na safari. Kweli akakubali tukaenda home usiku nikapiga shoo bila kutongoza kesho yake asubuhi akasepa ila tukaendelea kuwatunawasiliana.
Sasa jana asubuhi akanicheki akanambia kaja kwa sister wake mitaa ya Nyegezi tukakubaliana jioni au usiku atakuja kunitembelea. Kweli mida ya saa 3 usiku akawa amefika kitaa nikaenda kumchukua
Usiku tumelala fresh, sasa asubuhi nilikuwa na miadi ya kwenda Nyegezi stendi kutuma mzigo fulani nikawa nimemwambia akanambia freshi nitamkuta. Nikawa nimemwacha room pia ninaishi na dogo wa kiume naye yupo room kwake nikawa nimesepa.
Aiseee kuja kurudi binti hayupo na niliacha simu moja aina ya infinix kwenye charge nayo haipo.
Daah! Imeniuma sana sikutegemea
Mimi nakushauri baada ya miezi mitatu upime H.I.VNimempigia cm nimemuwakia sana cha ajabu hana wasiwasi anasema hajachukua ila alipata dharula akaondoka na hapa ananitumia sms za kunilaumu mim kumuita mwizi ila kuna sister jirani alimuona akitoka huku anakimbia.naomba ushauri wenu wakuu.bado analazimisha mawasiliano nifanyeje
Endelea kumtafunaNimempigia cm nimemuwakia sana cha ajabu hana wasiwasi anasema hajachukua ila alipata dharula akaondoka na hapa ananitumia sms za kunilaumu mim kumuita mwizi ila kuna sister jirani alimuona akitoka huku anakimbia.naomba ushauri wenu wakuu.bado analazimisha mawasiliano nifanyeje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hapo wewe na yeye nani mbuzi na nani muuza supu? [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Both teams to score and away winMbuzi kafia kwa muuza supu au sio??
Kwenye hili nisiwe mnafiki. Hautapata ushauri wa maana zaidi ya kukuambia karipoti tukio la wizi kituo cha polisi.Nimempigia cm nimemuwakia sana cha ajabu hana wasiwasi anasema hajachukua ila alipata dharula akaondoka na hapa ananitumia sms za kunilaumu mim kumuita mwizi ila kuna sister jirani alimuona akitoka huku anakimbia.naomba ushauri wenu wakuu.bado analazimisha mawasiliano nifanyeje
Mfuate aliko ukaile tenaNimempigia cm nimemuwakia sana cha ajabu hana wasiwasi anasema hajachukua ila alipata dharula akaondoka na hapa ananitumia sms za kunilaumu mim kumuita mwizi ila kuna sister jirani alimuona akitoka huku anakimbia.naomba ushauri wenu wakuu.bado analazimisha mawasiliano nifanyeje
Yaani badala ya kuwekeza nguvu za kupambana na uhalifu mkubwa tuanze kuhangaika na binti aliyejilipa ujira wake kwa kupigwa shoo siku mbili bila malipo?Kama una imei number, unaweza kuripoti Polisi wakatrace na kumpata mwizi na simu yake.
Amekwambia alipata dharula.Sasa,ukipata dharula utatembea kama unaenda kutupa taka jalalani?Lazima uondoke mbio huku unapiga na king'ora kwa mdomo.Nimempigia cm nimemuwakia sana cha ajabu hana wasiwasi anasema hajachukua ila alipata dharula akaondoka na hapa ananitumia sms za kunilaumu mim kumuita mwizi ila kuna sister jirani alimuona akitoka huku anakimbia.naomba ushauri wenu wakuu.bado analazimisha mawasiliano nifanyeje
Wanazid kuwa washamba kila uchwao[emoji2957]Wasukuma again
Huyo jirani huenda ndiye aliyejitwisha simu yako muulize vizuriNimempigia cm nimemuwakia sana cha ajabu hana wasiwasi anasema hajachukua ila alipata dharula akaondoka na hapa ananitumia sms za kunilaumu mim kumuita mwizi ila kuna sister jirani alimuona akitoka huku anakimbia.naomba ushauri wenu wakuu.bado analazimisha mawasiliano nifanyeje
Police hawakogo serious kutrack simu za bei chee, watakula sana pesa ake tu ukute Infinix ya 250k afu atumie 400k police na simu haipati..Kama una imei number, unaweza kuripoti Polisi wakatrace na kumpata mwizi na simu yake.