sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,237
- 8,999
Mwambie aje hapa jfNimempigia cm nimemuwakia sana cha ajabu hana wasiwasi anasema hajachukua ila alipata dharula akaondoka na hapa ananitumia sms za kunilaumu mim kumuita mwizi ila kuna sister jirani alimuona akitoka huku anakimbia.naomba ushauri wenu wakuu.bado analazimisha mawasiliano nifanyeje