BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
BT hebu acha kunikurupusha roho mwana wa mwenzio! tutaonana wabaya haya . . .
Na wala hujui analala na nani!Kumbe Jirani huna uvumilivu?
Wiki mbili tu! Umemfungulia Sredi?
Mie nna wiki 3 simjui mke alipo, sijui anakula wp! Analala wapi!
Na wala hujui analala na nani!
charminglady nimekuonaaaa, umea huoooo
vumilia mwaya....
Dawa tumpeleke kwa babu mlingotini.....
Kila akitaka ku-do smallhouse mtalimbo usinzie.....
umempata?.,ngoja tuanze kujisogeza tukutunze,kama ulikua unaenda saloon mara 1 kwa mwezi tarajia kwenda mara 24 yaan kwa week mar 3.we njoo kwanza roho yangu ilisha kudondokea.
mwaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
kwan uongo, Judgement mwizi wa mkeo beibe nasty huyu hapa! umeona anavojistukia? cku hyo tulipanga kwenda kumuona Mjr sasa beibe nasty akantoroka mpk sasa cjamwona kumbe hata kwake hajarud. Judgement me cmo.
umeona Kipipi mwenzio nshazoea saiv nimemkumbatia sasa huezamini nimekumbatia mito mi3 lakn bdo cpat joto ati!
yeuuuwiiii! nimeibiwa mume leo cku ya wiki ya pili cjamwona. . .aliyenionea mume wangu platozoom aniambie!