Nimeibiwa mke na tajiri yangu nifanyeje?

Nimeibiwa mke na tajiri yangu nifanyeje?

Kwani kazi na mke bora kazi? Mi naona aingie vtani ikbidi amzalshe boss!

Mke bila kazi mtaishije? Kuna mwanamke gani atakubali kuwa na mtu asiye na kazi. Halafu kwan huyo mwanamke alishikiwa bunduki? Alibebwa na winch kwenda kumpa bosi tundi?
 
Nenda ukaripoti police otherwise na ww anaweza akakuiba!
 
Achana nao wale maisha kwa kujinafasi, tafuta mwingine.
 
inauma sana kumuona mke anakuja kazin anaingia chumba cha boss daah nyie
 
Kwani huyo boss wako hana mke? Kama anaye lipiza nawe ngoma iwe droo acha kuhangaika wakati jawabu ni simple sana nakutakia maandalizi mema ila kuwa makini usije chomwa kisu mana waweza ingia kiboya boya !
 
hapo umeongea mkaka ngoja nianze kumlia na mm!!
 
inaelekea ulikuwa mbahili wa kila kitu hadi penzi,sasa kaamua kukutema tafuta demu mwingine ila mkono usiwe wa birika na ile shughuli iwe nzuri, hata aje tajiri wa dunia akikumbuka uwanja wa nyumban nje ya uwanja hachezi ng'oo
 
Wakuu,

Mke wangu kanyang'anywa na tajiri yangu. Naomba mnisaidie ushauri na la kufanya.

Asanteni.

wewe umeshajiuliza kwa nn kakukimbia? ukishafahamu jibu kusolve tatizo ni simple
tupia ata kidogo unaisi ni kwa nn kakukimbia ili wa2 watoe ushaur mzuriiiiii
 
Kwani boss hana mke jifanye fara na wewe humshawishi mkewe umalize acha ushamba
 
Unasema kweli?! Haa hivi umeibiwaje? Ulivamiwa? Katoe taarifa kwa mamlaka husika.

Paloma baada ya kumchora ZOMBI kule naona umetokelezea Jamvini leo auco huku jaribu kuwa mpole basi
 
Back
Top Bottom