Nimeibiwa mke na tajiri yangu nifanyeje?

Nimeibiwa mke na tajiri yangu nifanyeje?

Daah yaan ushauri ninao upata mungu apendi jaman
 
Wakuu,

Mke wangu kanyang'anywa na tajiri yangu. Naomba mnisaidie ushauri na la kufanya.

Asanteni.
\

nenda kamshitaki mahakamani kwa kosa la kuzini na mke wako na uombe fidia ya kutosha kama milioni 100, fidia yaadhabu milioni 50 na zuio la kutotembea naye ili akiendelea atahesabika kudharau mahakama na akikamatwa atafungwa miezi isiyopungua 6
 
Wakuu,

Mke wangu kanyang'anywa na tajiri yangu. Naomba mnisaidie ushauri na la kufanya.

Asanteni.
amefanya vizuri uliletwa ufanye kazi akutengenezee future sio kuwa na wanawake
tena shukuru mungu kanyang'anya mke wako kakuacha uendelee na kazi
 
Kama boss kamchukua mwache size yake,wewe endelea na kazi hujui nini amekuepusha,kila likuepula lina kheir na wewe...jikaze kiume...
 
Wamefanya yao na mimi nafanya yangu so sinampango nao!
 
mwanamke ndo matatizo. yeye ndo kapigwa sound. amekubali. sasa ya nini kumlilia?? achana nae. songesha maisha.
 
Tafuta mwanaye umpige mimba

Ni kweli kama kakuchukulia mke wako anataka wewe ukae bila mke? Mwanaume lazima upambane hadi mwisho, hakikisha na wewe unamchukulia mke,mtoto wake au ndugu yake wa karibu na upige mimba ndio atatia adabu.
 
Mkate kidevu huyo au unamuoga hafu huyo bosi ananiuzi kwann hafi sasa unamfanyia nn mfanya kazi wako.daaa ingekuwa mm kitambo familia yake wangesha maliza arobaini na kugawana urithi
 
Back
Top Bottom