upi huoMtoa post juzi tu uliomba ushauri wa kununua iPhone na mwisho uliamua kuto kununua ukadai irkua utanunua tu Samsung napo ukaanzisha uzi huku ukiziponda sana iPhone Leo hii pia tayar umenunua na umeibiwa napata mashaka nawe Kama lengo ni kujua undani kuhusu iPhone plz kuna uzi upo ni bora kuupdate huo ili uzidi jifunza zaidi na si vinginevyo
Hujitambui kama wajitambua basi wewe ni complicator mkulu mmoja ameorodhesha utitiri wa thread zako zinazo relate ndio maana nimekushauri kua ni vema na busara kama lengo pengine ni kujifunza kuhusu hizi simu za iphone ujifunze kupitia kuuendeleza uzi ambao tayari umeshajadili mambo hayo kwa kina ni special for iphones na si kuzid kukuza mlolongo hukuupi huo
Mpuuze tu mkuu kwanza ni mtoto wa 20 years sijui anajifunza simuHujitambui kama wajitambua basi wewe ni complicator mkulu mmoja ameorodhesha utitiri wa thread zako zinazo relate ndio maana nimekushauri kua ni vema na busara kama lengo pengine ni kujifunza kuhusu hizi simu za iphone ujifunze kupitia kuuendeleza uzi ambao tayari umeshajadili mambo hayo kwa kina ni special for iphones na si kuzid kukuza mlolongo huku
TUNDA LINAFANYA VIZURI BWANA ASIKWAMBIE MTU
jamani naombeni msaada nimeibiwa simu yangu aina ya Iphone 6S+ nahitaji kuifunga hii simu au kuipata![]()
View attachment 478100View attachment 478101View attachment 478102View attachment 478103View attachment 478104View attachment 478105
Hili jamaa linatudanganya kama vile sisi wote huku ni watoto
hhahahaaaaaaearphone tu laki na 20, bei ya techno.
Pole sana mkuuAnapenda iphone ila hana uwezo nazo akiona picha tuu anatunga uwongo wake
Maana hata kuzijua hazijui
Nasikitika nimetumia nguvu kumshauri kumbe mshen..z kabisa
PolisiKwanza imepotea lini Mkuu? Yaani ukienda na lisiti uliyonunulia polisi na kama upo vizuri kiuchumi hiyo simu unaipata labda kama haitumiki now.
sante mkuuHujitambui kama wajitambua basi wewe ni complicator mkulu mmoja ameorodhesha utitiri wa thread zako zinazo relate ndio maana nimekushauri kua ni vema na busara kama lengo pengine ni kujifunza kuhusu hizi simu za iphone ujifunze kupitia kuuendeleza uzi ambao tayari umeshajadili mambo hayo kwa kina ni special for iphones na si kuzid kukuza mlolongo huku
TUNDA LINAFANYA VIZURI BWANA ASIKWAMBIE MTU
Raphael gadau unatuona sisi wajinga, shezi kweli sitohangaika kuchangia uzi wako wowote.

sante mkuu niingie kwa simu ya iphone au hata ya androd tuMkuu hiyo simu uliyo ionesha hapa sio iphone 6s+ unanipa mashaka juu ya tukio husika au umetumia picha ya cm nyingine
Iphone 6s 6s+ zinakuwa na alama ya S chini ya neno iphone
Lakin kama kweli umeibiwa unaweza ipata kwakufanya ifuatavyo
Tumia computer au cm nyingine ingia icloud ac yako, ikikupa tabu ungia www.apple.com hapo unaona option ya icloud, ingia kwa kutumia ac yako kisha fungua find my iphone.
Ukisha ingia active loss mode kwanza ili kuongeza usalama wa cm yako.
Baada ya hapo andika ujumbe mfupi na utume kupitia find my iphone na ujumbe wako usiseme kuwa cm yako imeibiwa hauta ipata mtu anaweza hata itupa kuliko kupata kesi
Bali sema cm hi imepotea yoyote atakayo ipata nitampa laki 100000 kwa kunisaidia kuipata cm.
Kwanin laki moja, iphone nying mafund wananunua elfiu 50 au pungufu kwajir ya spare tuu we ukisema laki utakuwa umempa nguvu ya kukutafata kwa kuandika na no yako ya cm.
Hapo utachelewa ila utaipata tu.
Hata fundi akiichukua akiona ujumbe wako atakutafuta
Mkuu,ilikuwa lakini si kwa sasa hivi,sema huo ujuzi watakuwa nao wachache,maana majuzi nimezinyaka kuwa sasa hivi laki 4 wanaondoa.Na watu wanaofahamika nasikia ni 2. Mmoja Kaliakoo, na mwingine Mwananyamala(Kinondoni). Sasa mi jimebishana na mtu weeeeeee kaitoa akaniambia kama ipo,nitoe laki 500, kilo 4 za fundi na 1 ya kwake,na ananiachia ya kwake. Baada ya hapo,nikazisikia kwa mtu mwenye heshima yake kwamba anamjua mtu anayebypass hiyo Icloud.Sasa angalieni,mi sijafanya ila waliodai kufanikisha wapo. Huenda na zenyewe zikaja kuchokonolewa kama Tecno na nyiginezo
ahsanteIngia iCloud - Find My iPhone, iPad, and Mac. - Apple ingiza account yako ya iCloud then utakuta options kama track my iPhone hapo utaona location aliopo kabla ajazima hiyo simu,pili kuna erase all data hapo utafuta data zote kwenye simu,simu itakua kama kopo na uyo mtu ataweza kufanya chochote. Sehemu ya tatu utakuta activate loss mode hapo itaongeza security ya simu na kukutumia location ya simu sehemu ilipo na pia itapiga kelele kama bado iko on.