Nimeibiwa iphone

Nimeibiwa iphone

Simu utapata usiwe na wasiwasi kabisa...ingia Icloud kwa kutumia simu ya rafiki yako kisha andika find my iphone...simu kama itakua imewashwa itaonesha ilipo na itumletea sms mwizi kua mwenye simu anaitafuta hivyo airudishe...
 
Kama uliweka icloud nenda iCloud.com log in, unaweza kuitrack na kuifuta data simu.
 
Simu utapata usiwe na wasiwasi kabisa...ingia Icloud kwa kutumia simu ya rafiki yako kisha andika find my iphone...simu kama itakua imewashwa itaonesha ilipo na itumletea sms mwizi kua mwenye simu anaitafuta hivyo airudishe...

Si mpaka simu yake iwe conmected na net pia iwe ijawa na passcode ile mwiz kama kaiba anakua anaccess ndo ataweza ipata ila kama aliweka psscode haipati tena
 
Mtoa post juzi tu uliomba ushauri wa kununua iPhone na mwisho uliamua kuto kununua ukadai irkua utanunua tu Samsung napo ukaanzisha uzi huku ukiziponda sana iPhone Leo hii pia tayar umenunua na umeibiwa napata mashaka nawe Kama lengo ni kujua undani kuhusu iPhone plz kuna uzi upo ni bora kuupdate huo ili uzidi jifunza zaidi na si vinginevyo
 
jamani naombeni msaada nimeibiwa simu yangu aina ya Iphone 6S+ nahitaji kuifunga hii simu au kuipata
e16f304ac802581e7be453d844b3da84.jpg
Screenshot_2017-03-08-14-47-17.png
Screenshot_2017-03-08-14-46-41.png
Screenshot_2017-03-08-14-45-50.png
Screenshot_2017-03-08-14-45-38.png
Screenshot_2017-03-08-14-44-43.png
Screenshot_2017-03-08-14-44-07.png

Hili jamaa linatudanganya kama vile sisi wote huku ni watoto
 
Mod ebu muwe mnawaangalia hawa watu ambao wabaweka thread ambazo ukizichunguza utagundua kuwa ni uongo mtu. Mtu kama Huyu ambae amewahi kujisia hapa kuwa anatoa I cloud kwa 200,000 alafu Leo anakuja na post kama hii na nyingine kibao
 
roho inaniuma
Ujue we jamaa una mambo ya kifala sana? Unaleta nyuzi za kijinga jinga huku ukiwa unajisifia wewe mwenyewe kua unatoa icloud maana yake nini?

Kama unatoa si uendelee kujitangazia biashara, huu ujinga kaupeleke unapochezaga.
 
Kanikera sana mkuu
 
Mod ebu muwe mnawaangalia hawa watu ambao wabaweka thread ambazo ukizichunguza utagundua kuwa ni uongo mtu. Mtu kama Huyu ambae amewahi kujisia hapa kuwa anatoa I cloud kwa 200,000 alafu Leo anakuja na post kama hii na nyingine kibao

Huyu jamaa ni mwizi wa simu
 
Mimi nilipoteza iphone4, details zote kama IMEI na nyingine ninazo. Naomba mtaalamu ajitokeze tumkamate mwizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom