Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,343
- 6,754
Ningekuwa Karibu ningekulipia mkuuLeo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.
Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Manina[emoji23][emoji23][emoji23]Unahonga elfu 25 unalalamika .
Mimi kuna mwanamke aliniomba elf hamsini ,, nkamtumia 53,000 Jana iyo ,,najana HIYO HIYO nmemuambia SIMTAKI ..sio sababu aliniomba hela ,,ila nisababu nilimpigia SIMU kuanzia saa tatu mpaka saa tano bila kupokelewa.
Alafu silalamiki .... Toa pesa ili upate nafasi ya kuingiza nyingine.
Mkuu mbona umetoa pesa kizembe hivyo.... Ungemwambia huna maana kakushtukiza
Kiukweli mi napenda sana sana kuhonga haswa mwanamke kama ni Mzuri nitamuhonga sana tuuu,huwa nahonga kuanzia laki,chini ya hapo sihongi,na hii yote sipendi ushindani...kama ni mwanamke mweusi/maji ya kunde,ana umbo zuri tuu na nimejiridhisha yake laki zangu atachukua sana tuuu....🙂😉😉 unashangaa niniii honga na wewe na kama hela ni rahisi...Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.
Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Kwakweli, yaani nilivyofungua thread sikutegemea kukutana na hicho kilichoandikwa!!Huyu jamaa sio mwanachama mwenzetu kwenye chama cha wanaume.
Naomba kuja tafadhaliUnatutia aibu wanaume bwana 25,000 unakuja kuanzisha Uzi .mm Niko hapa mchepuko wangu huko namarafiki zake wameshakunywa wain za laki 2 nabado tunaendelea kunywa .
Boss!!![emoji15]Unahonga elfu 25 unalalamika .
Mimi kuna mwanamke aliniomba elf hamsini ,, nkamtumia 53,000 Jana iyo ,,najana HIYO HIYO nmemuambia SIMTAKI ..sio sababu aliniomba hela ,,ila nisababu nilimpigia SIMU kuanzia saa tatu mpaka saa tano bila kupokelewa.
Alafu silalamiki .... Toa pesa ili upate nafasi ya kuingiza nyingine.
ThanksThank you for loving me, and I love you too Tajiri msomi
Hahahaaaa!!Umenikumbusha wik kadhaa nyuma kuna kabint nili meet nako pale shekinah mbezi,kakanambia kamemaliza 4 lakin kanafanya taratib za chuo,nkasema okay,ni kazur ,sasa urafik ukaendelea siku za usoni,ila sasa haka katoto sim hakana,kanatumia ya dadake,bas mawasiliano had aombe kwa dada,nameet nako usiku mitaa ya kwao,..dah mzee nkakanunulia sim zile za 99000,..heeee,naona baada ya kupata sim whatsap kakamweka bwana ake tena anaonekana ni bwa mdogo wa form 3 au 4 hiv,hahahahhah,dogo kavaa manguo ya rang rang,makofia,ma cheni,hahaha,nkasema yan mi fatak nmefkia ushindan na vitoto,nkakapotezea na hyo sim wala siiwaz,.hahah
[emoji2] [emoji2] [emoji2] thx u made my day lolsiku ukihonga Laki1 si ndio utakodisha gari la matangazo upige Haraambee..
Hahahahah nmecheka kwa sautiUmenikumbusha wik kadhaa nyuma kuna kabint nili meet nako pale shekinah mbezi,kakanambia kamemaliza 4 lakin kanafanya taratib za chuo,nkasema okay,ni kazur ,sasa urafik ukaendelea siku za usoni,ila sasa haka katoto sim hakana,kanatumia ya dadake,bas mawasiliano had aombe kwa dada,nameet nako usiku mitaa ya kwao,..dah mzee nkakanunulia sim zile za 99000,..heeee,naona baada ya kupata sim whatsap kakamweka bwana ake tena anaonekana ni bwa mdogo wa form 3 au 4 hiv,hahahahhah,dogo kavaa manguo ya rang rang,makofia,ma cheni,hahaha,nkasema yan mi fatak nmefkia ushindan na vitoto,nkakapotezea na hyo sim wala siiwaz,.hahah
Si bora ungekataa tu kuliko kuja kujidhalilisha humu,[mwanaumemashine]Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.
Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Aaahhh mkuuu yaaan mbigu zinisamehe ,,ila kiukweli huwa sitaki mwanamke kunipa mawazo. .Manina[emoji23][emoji23][emoji23]
Teme kapeaceBeibiiiii
Punguza hasira sweetAaahhh mkuuu yaaan mbigu zinisamehe ,,ila kiukweli huwa sitaki mwanamke kunipa mawazo. .
She is not only in the sea !!.
Thanks kapeace ,,I will try my hardest [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji119]Punguza hasira sweet