Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.
Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma