Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 18,322
- 42,200
Je hauhisi Kama hiyo mimba baadae angesema Ni yako ?endapo usingegundua ukaribu wao huo?na mkarudiana na mpenzio?Yeye mwnyw Ndo hatak kunifanya wa malengo.
Ana akil za kushikwa,
Just imagine mtu anakushaur uachane na mwanaume wako,ukatafte mtu Baki tu yeyote uzae nae na unakubali kwa moyo mmoja.
Na nahs uyu boda alikua keshaingizwa kwny mpango KAZI wa kumtegea mimba ili kumzalisha kilazima.
Kuna kutumia akili kweli hapo?