''Habari yako kaka'' ni sauti ilitoka kwa upole huku moyoni nikadhani ni mrembo anataka kuniangukia. Mara nikageuka kutahamaki ni dume lililojaa vishimo vya sharubu likitoa tabasamu kama binti. Yalai tobaa nini hiki nakutana nacho asubuhi hii ndani ya daladala? Nimejikuta najilaumu kwa maana leo wife alitaka niondoke na private car nikamkatalia maana naskia leo wese halipo lakutosha kwenye visima. Basi nilimjibu mimi niko powa dada, aisee alitoa bonge la tabasamu huku akionesha kufurahi jinsi nilivyomuita dada. Naomba namba yako ya simu aliniomba ahaa ilibidi nishuke fasta kabla hajaniganda.
Afrika tumeingiliwa
Huwa najisikia vibaya
Kuna mmoja nilikuwa namyanyapaa sana mahali fulani
Alikuwa anataka kunizoea afu mie sitaki hata tone, akinisalimia naitikia kama simuoni, lakini hakuwahi kuchoka.Baadae tukaja kukutana mazingira tofauti, alifurahi sana kuniona ila hakuwa na uhakika kama attitude yangu.
Baadae nilikaa nikajiuliza, hivi kwa nini nakuwa hivyo? Kuanzia siku hiyo nilianza kujitahidi japo salamu tu
Hatimaye naweza ongea naye, hata tukacheka, japo hatuko marafiki kihivyo
Na he is a good guy kwa kweli
Nadhani ni phobia, najitahidi kuipunguza japo ni kazi sana
Nitonye kaoge baharini (kidin')
Mimi kwa mara ya kwanza niliwaona wakiwa wawili maeneo ya Uwanja wa Taifa....Halafu wakawa wanavuka
Barabara kwa madaha!!.............Nilishangaa mpaka watu wakanishangaa.............Kusema ukweli sifai kukabidhiwa Bunduki
Hayo yote mnayosema ni kweli kabisa,mi niliwahi kuwa gay ila kwa siri but niliokoka miaka 2 imepita..unajua kuwa kwasasa asilimia kubwa ya wanaume wasasa wengi kwa sasa wanshariki masuala haya ila wengi wao wanafanya kwa siri..mi wakati nawahi kufanya hivyo vitendo nilikutana na watu amaboa huwezi amini,namba zinagawiwa kwa siri kwa wale walio katika mtandao.viongozi wa dini ,maasheik,mapadri ndo balaa,viongozi wa serikali wengi tu na katika jamii tunazoishi vijana wengi wa sasa wanashriki vitendo vya mapenzi ya jinsia moja..nasema haya kwa ujasiri maana nilikuwa mmoja wao..ni wengi sana tena hata hao watu tunafanya nao kazi maofisini,ukimuona huwezi jua ila ukishakuwa member ndo utakutana nayo huko...yaani sasa hivi ndo maana hawa wanawake hawana soko maana men wengi wanatoka na men wenzao tena wanaume wa siku hizi akitoka na men mwenzake huwezi hisi vibaya utajua ni marafiki wa kawaida tu
Watoto wa kiume hawajui, wanawapa wazimu kabisa mama zao
Dunia hii ya leo
''Habari yako kaka'' ni sauti ilitoka kwa upole huku moyoni nikadhani ni mrembo anataka kuniangukia. Mara nikageuka kutahamaki ni dume lililojaa vishimo vya sharubu likitoa tabasamu kama binti. Yalai tobaa nini hiki nakutana nacho asubuhi hii ndani ya daladala? Nimejikuta najilaumu kwa maana leo wife alitaka niondoke na private car nikamkatalia maana naskia leo wese halipo lakutosha kwenye visima. Basi nilimjibu mimi niko powa dada, aisee alitoa bonge la tabasamu huku akionesha kufurahi jinsi nilivyomuita dada. Naomba namba yako ya simu aliniomba ahaa ilibidi nishuke fasta kabla hajaniganda.
Afrika tumeingiliwa
Hayo yote mnayosema ni kweli kabisa,mi niliwahi kuwa gay ila kwa siri but niliokoka miaka 2 imepita..unajua kuwa kwasasa asilimia kubwa ya wanaume wasasa wengi kwa sasa wanshariki masuala haya ila wengi wao wanafanya kwa siri..mi wakati nawahi kufanya hivyo vitendo nilikutana na watu amaboa huwezi amini,namba zinagawiwa kwa siri kwa wale walio katika mtandao.viongozi wa dini ,maasheik,mapadri ndo balaa,viongozi wa serikali wengi tu na katika jamii tunazoishi vijana wengi wa sasa wanashriki vitendo vya mapenzi ya jinsia moja..nasema haya kwa ujasiri maana nilikuwa mmoja wao..ni wengi sana tena hata hao watu tunafanya nao kazi maofisini,ukimuona huwezi jua ila ukishakuwa member ndo utakutana nayo huko...yaani sasa hivi ndo maana hawa wanawake hawana soko maana men wengi wanatoka na men wenzao tena wanaume wa siku hizi akitoka na men mwenzake huwezi hisi vibaya utajua ni marafiki wa kawaida tu
Mkuu ninamashaka na ww kuhusu jinsia yakoWatanzania ni wanafki sana unafiki utatuua usione watu wanachangia hapa.ila ndo namba moja mungu atuepushie
Miafrika bana??? tunaiga kila kitu.. kweli ndivyo tulivyo hahahaaaaaaaa....Pole sana. Ila jua mashoga wako kila sehemu na kuna uwezekano unakutana na kugusana nao bila hata kujua! Jitahidi tu kutokuwa homophobe.
Hii channel huwa wanaonyesha nn mkuu?The Style Network, channel 183.