gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,715
Blaine utasema hayo ila jamani natamani ungekuwepo leo asbh polis hapa mbezi. mkuu wa upelelezi alikuwa anasimulia jinsi ambavyo mtoto wa kiume 8 yrs amelawitiwa na baba mdogo kwa muda mrefu hadi kujikuta kwamba anaumwa. mtoto alitishwa na huyu baba mdogo na anasime kabisa chumban anakolala kaliweka kwamba mtoto akisema kwa wazazi basi anamchinja.don't be so paranoid dada.
mtoto uzalendo umemshnda akasimulia mwl wake na kusema yeye haendi nyumban manake bamdogo atamchinja na sime. mwl kumchungulia mtoto nyuman kumbe bamdogo kamziba na kipande cha godoro iliyozunzgushiwa leso kwa jinsi alivyo muharibu. basi ikabidi waende polis kushtak polis wakatoka na mwalimkumsindikiza mtoto nyumban. kufika ba mdogo alikuwepo mtoto ndo kumuonyesha kwa polis, akakamatwa kwenda kituon.
sasa wazazi wambaki kulia hapa kaka mtu anadai bora ukoo unitenge ila afungwe maisha mama anamlalamikia mumewe mndugu ndo kaniaharibia mtoto. acha kabisa haya mambo.
Last edited by a moderator: