Nimegusana kimwili na shoga

Nimegusana kimwili na shoga

kwa huruma kama hii itabidi hata majambazi, wabakaji na waovu wengine kwenye jamii tuwahurumie na tusiwachukulie hatua stahiki.

Mi naamini mashoga wengi wamejitakia na hata kama mtu kazaliwa hivyo au kaharibiwa, ya nini kuikubali hali na kujitangaza kwenye jamii na kujivika mavazi ya kike?

Ni kwavile jamii imewapa suport na kuvifanya hivi vitendo viovu ni vya kawaida ndomana wamepata ujasiri huo.

Tungewatenga wangebadilika, mtu ambae angejihisi anatabia hizo angetumia kila namna kama madawa, maombi na njia nyinginezo ili awe kawaida.

Na hata kama ingeshindikana kurudi katika hali ya kawaida, asinge thubutu kujitangaza na kujifakharisha mitaani.

Unapoiona dhambi ni ya kawaida unakuwa umejihalalishia kuendelea kuifanya na unawavutia watu wengine.

NB: suala la kumvusha mtoto wa kiume sio tatizo kama wewe mwenyewe utakuwa mchamungu na ukamlea mwanao ktk mazingira hayo.
Kama wazazi ni wachamungu na mnajitambua ni rahisi sana watoto kuiga na kuwa ktk maadili mazuri.

Hivi hujawahi sikia watoto wanaolawitiwa kanisani au madrasa kimyakimya ukishtuka ameshakuwa shoga? Hakuna sehemu salama
 
Hatujui kama ni dhambi sema ni tabia ambayo hatujaizoea.
Wewe ndie ambae hujui kama dhambi, kwa imani ya dini yangu ni dhambi ambayo hata Mungu aliuteketeza mji wa sodoma na gomora kwa moto.
Alipona lutu na familia yake tu, lakini mke wake akageuka jiwe.
So, kama ni tabia isiozoeleka ni kwako, kwangu mimi sio tabia ni dhambi.
 
Hiyo ni hekaya ya Wayahudi na ndugu zao wazungu,waliitengeneza ili watutawale.Wao wanafanya na wanahalalisha kila siku,kanisa Katoliki la Malta limehalalisha ndoa za jinsia moja,Ujeruman ndoa hizi ruksa,Anglikana nadhani unafahamu kuna nini.Yuko wapi anayeamini Sodoma na Gomora zilikuwepo na ziliteketezwa na Mungu? Huyo Mungu amesinzia siku hizi? Mbona hajamuangamiza Kaoge mvuto,James delicious na Sir Elton John?
 
du kweli tembea uone kwa hiyo kuwa shoga nchini kwetu unapoteza haki zako zote kama binadamu?unanyanyapaliwa .sound very controversial the reality hawa LGBT nao ni binadamu kama sisi na wanasitahili haki zao,hasira nao,kuwatishia kuwaua sio ufumbuzi.Na hakuna tatizo la wao to co exist kama sisi.
 
Umenena vyema mkuu,watu wengi hudhani kwakuwa yeye dhambi flan haifanyi basi ni dhambi mbaya sanaaa,dhambi ni dhambi tuu,anayejua ni huyo supernatural being ambaye tunaamini yupo.Kila mtu aheshimiwe na alindwe bila kujali madhaifu yake.
 
Hiyo ni hekaya ya Wayahudi na ndugu zao wazungu,waliitengeneza ili watutawale.Wao wanafanya na wanahalalisha kila siku,kanisa Katoliki la Malta limehalalisha ndoa za jinsia moja,Ujeruman ndoa hizi ruksa,Anglikana nadhani unafahamu kuna nini.Yuko wapi anayeamini Sodoma na Gomora zilikuwepo na ziliteketezwa na Mungu? Huyo Mungu amesinzia siku hizi? Mbona hajamuangamiza Kaoge mvuto,James delicious na Sir Elton John?
Haijalishi hekaya za nani, lakini as i declare interest of my imani.
Sio kila kinachoyendwa na wengine basi na wewe ukubali.
Kama Mungu wako amesinzia kwangu bado yu hai, anaishi nami kila leo, kila saa kila sekunde. Kama unataka kuwa kama kaoge, au elton.
Lakini usianze kuniambia eti hekaya za nani na nani, ipi iwe hivi. God forbid
 
Inatakiwa tumheshimu kila mtu regardless of our weaknesses maana hata katika hizo imani,ni ipi inakupa haki ya kuhukumu?
 
Nitonye hapo kwenye namba moja sijakuelewa. Mimi natokea bara ambako huu mchezo haukuwepo kabisa kipindi cha nyuma. Ina maana siku hizi ndo baadhi ya wanaume wamekuwa wanazaliwa na homone za kike? Kipindi cha nyuma hwakuwepo? Achan na mawazo ya kuhalalisha huu upuuzi. Hakuna kitu kama hicho zaidi ya kuamua mchezo mbaya kama kuwa kibaka, changudoa n.k. Kama hakuna mtu anazaliwa awe mwizi au changudoa, ndivyo ilivyo kwa shogas. Mengine ni mtu mwenyewe anaamua au mazingira yanapelekea kuwa vile. All in all ni mchezo mchazu kiimani na kiafya. Naombeni tuungana kuupinga kwa nguvu zote na akili zote.
Kweli kabisa Lincolinmtza, unajua lazima tukubali ukweli. Si kweli watu wanazaliwa na hormone za kike, na hata kama ni kweli mbona hao wanawake wenye hizo hormone kwa asili wasikubaliwe wawe malaya?kila ulemavu ulio kwenye jamii una jina mfano kila kabila lina majina kwa kila ulemavu au upungufu kama upofu, kiziwi,bubu,nk.Sasa inapokuja ushoga nimejaribu kuhoji makabila mengi hakuna wenye jina la shoga kwa lugha zao. Sasa hizo hormone za kike kuwa nazo wanaume zimeanza zama hizi? Huu ni utetezi tu wakutetea madhambi haya.
 
Inatakiwa tumheshimu kila mtu regardless of our weaknesses maana hata katika hizo imani,ni ipi inakupa haki ya kuhukumu?
Hakuna, kwani nimemuhuku nani ?? Na nimehukumu vipi??
We mwanaume anatembea kiuno juu kama anawasha taa kwenye paa la nyumba, mikono anaimwaga utadhani wanawake wanasutana kwanini asiwe shoga? Na washawahi gombana na msichana mmoja ambae ni rafiki ake mkubwa akasema ni shoga.
Nimpende wa kazi gani??
Au nikiwa nae itanisaidia nini??
Imani ipi yako inayokuruhusu uwe kama hao??

We ukiona unauhuru na uhitaji wa kuwa nao au kuwa kama wao, just be.
Lakini sio kuanza kuingilia mitazamo na misimamo ya wengine.
Be who you are and live your live.
#no mashoga in my life
 
Kama tungekuwa hatutendi dhambi yoyote ingekuwa vyema ili tuweze kuchukia na kukemea wenye dhambi.kwakuwa wote twatenda dhambi hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine.Let us live while giving hope to the weak for,no one knows his tommorow.Tuishie tuu hapo mkuu.
 
Wanao tetea ushoga ni mashoga nao
We kitu ambacho ata wanjama hawana wewe unacho
Afu kuna wajinga kwenye magroup ya whatsup wanatumatuma
Na wanao angalia wanajikuta wakipenda mapenz ya jinsia moja
Kuna ligroup niliona wanafanya hvyo nikaomba uadmin nikawatoa wotee
Ujinga ni kutetea huo ushenz ukijua uko sahihi
 
Back
Top Bottom