Nimegusana kimwili na shoga

kuna eneo moja nlikuwa nakaa kila nikimsalimia jamaa mmoja hivi haitikii

Hataki wasichana wamsalimie

Mi kuuliza naambiwa ni shoga (yaani wana matatizo na sasa hivi wamejaa kibao mjini hapa)
 
Hakukufuata kweli, maana inaonekana alikuwa kakuganda kama luba
 
huwa nachefuka sana nikienda home Tanga ni bora ushinde ndani ukienda club tu tatizo
 
Kwa jinsi hali ilivyo, jamii ina wakati mgumu sana ikiwa ikubaliane na hali halisi au watengwe...
 
Kuna mmoja alitupita magomeni kwenye mataa, watu walimpigia miluzi na kumcheka sana, ila moyoni niliumia sana, sikuipenda hali yake kwa kweli. Usoni kajichubua (huku tunaona masalio ya ndevu!) na wanja kaukoleza na kuukunja kuelekea chini, kiuno sasa kilivyokuwa kinapelekwa na hatua zake za haraka haraka! Daah...kwa kweli nilisononeka sana....
 
Akikuhonga hili utakuja kutangaza JF?

553641_213637082098163_1808303791_n.jpg
''Habari yako kaka'' ni sauti ilitoka kwa upole huku moyoni nikadhani ni mrembo anataka kuniangukia. Mara nikageuka kutahamaki ni dume lililojaa vishimo vya sharubu likitoa tabasamu kama binti. Yalai tobaa nini hiki nakutana nacho asubuhi hii ndani ya daladala? Nimejikuta najilaumu kwa maana leo wife alitaka niondoke na private car nikamkatalia maana naskia leo wese halipo lakutosha kwenye visima. Basi nilimjibu mimi niko powa dada, aisee alitoa bonge la tabasamu huku akionesha kufurahi jinsi nilivyomuita dada. Naomba namba yako ya simu aliniomba ahaa ilibidi nishuke fasta kabla hajaniganda.

Afrika tumeingiliwa
 
aiseeee babaangu nimefungua haraka haraka nikidhani umekula kiboga(tigo) kumbe umekusana 2 na shogo ukigusana na zeruzeru na mlemavu utatuambia tena
 
Unajua alianzaje?? Aliamua mwenyewe? au ni mtu mzima mmoja alimharibu? Labda hata tena anayeaminika na kuheshimika kwenye jamii, mwalimu? mjomba? Mchungaji?

Ukiwa na watoto wa kiume, ukaona ilivyo kazi kuwavusha, ndipo unapoweza kuwapa nafasi hawa watu.

kwa huruma kama hii itabidi hata majambazi, wabakaji na waovu wengine kwenye jamii tuwahurumie na tusiwachukulie hatua stahiki.

Mi naamini mashoga wengi wamejitakia na hata kama mtu kazaliwa hivyo au kaharibiwa, ya nini kuikubali hali na kujitangaza kwenye jamii na kujivika mavazi ya kike?

Ni kwavile jamii imewapa suport na kuvifanya hivi vitendo viovu ni vya kawaida ndomana wamepata ujasiri huo.

Tungewatenga wangebadilika, mtu ambae angejihisi anatabia hizo angetumia kila namna kama madawa, maombi na njia nyinginezo ili awe kawaida.

Na hata kama ingeshindikana kurudi katika hali ya kawaida, asinge thubutu kujitangaza na kujifakharisha mitaani.

Unapoiona dhambi ni ya kawaida unakuwa umejihalalishia kuendelea kuifanya na unawavutia watu wengine.

NB: suala la kumvusha mtoto wa kiume sio tatizo kama wewe mwenyewe utakuwa mchamungu na ukamlea mwanao ktk mazingira hayo.
Kama wazazi ni wachamungu na mnajitambua ni rahisi sana watoto kuiga na kuwa ktk maadili mazuri.
 
''Habari yako kaka'' ni sauti ilitoka kwa upole huku moyoni nikadhani ni mrembo anataka kuniangukia. Mara nikageuka kutahamaki ni dume lililojaa vishimo vya sharubu likitoa tabasamu kama binti. Yalai tobaa nini hiki nakutana nacho asubuhi hii ndani ya daladala? Nimejikuta najilaumu kwa maana leo wife alitaka niondoke na private car nikamkatalia maana naskia leo wese halipo lakutosha kwenye visima. Basi nilimjibu mimi niko powa dada, aisee alitoa bonge la tabasamu huku akionesha kufurahi jinsi nilivyomuita dada. Naomba namba yako ya simu aliniomba ahaa ilibidi nishuke fasta kabla hajaniganda.

Afrika tumeingiliwa

Zamani nilikuwa nikikutana na shoga nalia na kujisikia uchungu nikifikiria hivi angekuwa mwanangu ingekuwaje, mambo yanayofanyiwa ni balaa. Lakini siku hizi lol, kila mmoja na ajililie mwenyewe!
 
Huwa najisikia vibaya

Kuna mmoja nilikuwa namyanyapaa sana mahali fulani
Alikuwa anataka kunizoea afu mie sitaki hata tone, akinisalimia naitikia kama simuoni, lakini hakuwahi kuchoka.Baadae tukaja kukutana mazingira tofauti, alifurahi sana kuniona ila hakuwa na uhakika kama attitude yangu.

Baadae nilikaa nikajiuliza, hivi kwa nini nakuwa hivyo? Kuanzia siku hiyo nilianza kujitahidi japo salamu tu
Hatimaye naweza ongea naye, hata tukacheka, japo hatuko marafiki kihivyo

Na he is a good guy kwa kweli

Nadhani ni phobia, najitahidi kuipunguza japo ni kazi sana

Kazi kwelikweli wanatamani watambulike ila inashindikana
 
Unajua alianzaje?? Aliamua mwenyewe? au ni mtu mzima mmoja alimharibu? Labda hata tena anayeaminika na kuheshimika kwenye jamii, mwalimu? mjomba? Mchungaji?

Ukiwa na watoto wa kiume, ukaona ilivyo kazi kuwavusha, ndipo unapoweza kuwapa nafasi hawa watu.

katika vitu ambavyo sivipendi ushoga unaongoza kwakweli, ila katika vitu ambavyo vinanipa wakati mgumu ni hili linaongoza Kongosho. Leo nina watoto 4 wote ni wa kiume, najaribu kusema nao hadi naona sasa wataniona chizi isitoshe nimeanza hadi utaratibu wa kuwaombea na naona niwe natoa sadaka ili tu kwenye viuno vyangu asitokee mtu kama huyu.
Kongosho huwa wanangu wanajua kabisa yoyoyo ni ya mtu mwenyewe na hakuna mwenye ruhusa ya kuona yoyoyo ya mwenzie. lakin nimesahau kwangu sikai peke yangu na watoto
kuna h/boys, kuna ndugu, kuna majiran bado wana waalim na makatekista. uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:

don't be so paranoid dada.
 
Pole sana,ila sidhan kama kuwatenga ni suluhisho.jambo la msingi ni jamii kukubal hili tatizo lipo so tushirikiane kulipunguza kama si kuliondoa kabisa.kama jamii tunatakiwa kutibu mzizi wa tatizo kwa maana ya malezi,wengi wa hao mashoga wanatengenezwa utotoni.pata picha mwanao au nduguyo kawa hivyo, je utamtenga?utampiga risasi?[/QUOTE] hapo kwenye red... mie naua kabisa. hata kwa sumu namtegeshea
 
Back
Top Bottom