Nimegundua mbinu mpya kabisa ya kuzalisha gas ya kupikia pasipo kuisha (Gas Re-recycling)

Nadhani una ndugu na marafiki wengi zalisha wauzie haonkwa bei rahisi tu au fungua kibanda gas na mix za kweli na zako fake uza bei poa zaidi kuliko kwa extra kidogo sana ili kuzuga kumbe unapiga mpunga mrefu.
Japo najua hadithi yako ni uzushi tu
 
MKUU huo ni usangoma haiwezekani substance inaungua inaisha then uli _cycle!!! No no a big NO.
 
Back
Top Bottom