Nimegundua mbinu mpya kabisa ya kuzalisha gas ya kupikia pasipo kuisha (Gas Re-recycling)

Gesi hiyo inaitwa biogas, mbolea au mabaki ya chakula yanavyooza(ferment) yanatoaga gesi, so ukiweza kuitrap unaitumia tu home. wala sio kitu kigumu. Unaweza kugugo pia jinsi ya kuitengeneza.
Sawa kwa case ya huyu mwenzetu anatumia utaalamu gani kuiingiza kwenye mtungi,maana ili ikae kwenye mtungi ni lazima ishindiliwe na mashine kama compressor..!
 
Nimesoma sijaelewa mantiki ya hii thread kichwa cha habar na vilivyomo ndani ni toafaut kujisifia na kuilalamikia njaa sasa umefanyaje hadi kuwa na gesi haijulikani kwa nini ufungue thread kama sio muwazi? ndo mana wajinga kama wewe magufuli anawaponda kwa nyundo nzito vichwani.
Mkuu you made my day dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kwa case ya huyu mwenzetu anatumia utaalamu gani kuiingiza kwenye mtungi,maana ili ikae kwenye mtungi ni lazima ishindiliwe na mashine kama compressor..!
Mkuu teknolojia ni nyingi...mwenzetu anaweza kuwa amemimina unga wa sumaku humo ndani ya mtungi...kwa hiyo gesi inajiingiza yenyewe kama mbwa kamuona chatu( namtania mleta mada (u)msije (u)mkajaribu).
 
Mara ya kwanza ilikuwa kama masihala baada ya gas kuisha nikiwa sina hata tsh kumi mfukoni, niliwaza sana siku hiyo, nikampigia jamaa yangu aniazime japo pesa kidogo bahati mbaya naye hakuwa na kitu kabisa,njaa ilivyozidi kuuma nilirudi tena jikoni nikawasha gas lakini sikufanikiwa ilikuwa imekwisha na mtungi niliunyanyua ulikuwa mwepesi:

Nilirudi kitandani nikasali halafu nikajilaza chali nikitizama darini.

Aisee Lilikuja wazo pale, lilikuwa ni wazo ambalo kama la kipuuzi sana lakini kwa njaa niliokuwa nayo sikuwa na namna niliamua kufanya!

ni wazo ambalo halikuwa na gharama kwasababu kila kitu kilikuwepo,Ni wazo lenye mbinu ya sayansi ya form two, Wala siyo mambo makubwa, Wala hayana mbwembwe kama za Monocotyledon na dicotyledon!

Nilitumia mbinu local kabisa! Gas ilijaa na ule mtungi nikaunyanyua ulikuwa mzito;
nilipikia kwa miezi haikuisha, Mwanzo niliogopa lakini hadi sasa hivi nakaribia mwaka gas haishi, wakati mwanzo kila baada ya miezi miwili nilikuwa najaza (exchange)

Katika kuhakikisha hilo nilinunua mtungi wa kampuni nyingine nikampa mtu atumie hadi iishe halafu anipatie mtungi, nilitumia mbinu ileile kuujaza nao umekubali, Hakika Sijaivujisha mbinu hii kwa mtu yoyote yule.

Nipo hapa natafakari nifanyeje ili nitajirike kupitia ubunifu huu je nitumie njia gani kutengeneza usalama wangu na wa wazo hili ili wenye nguvu wasinitapeli?

Pia Najiuliza vibari vya ubora nitapataje?
Ninapikia kila kitu hadi maharage yanaiva fasta tu.

Naombeni ushauri wenu wadau ili tufanikishe hili, wallah ikitiki tutafurahi wote, naendelea na uvumbuzi zaidi ili kufahamu naweza recycle mara ngapi kabla ya kubadili mtungi mwingine, lakini hadi sasa hivi sijabadili mtungi na gasi imo haiishi karibu mwaka sasa.

Note; Gasi hii naizalisha kwa kutumia mtungi uloisha gas tunayobadili madukani (original.) ya makampuni mbalimbali kama I.e Oryx's, mihan,lake n.k

KARIBUNI WADAU

Nachohitaji kutoka kwenu in ushauri Wa utaratibu za kufanya kihalali na kutengeneza security; kuna watu wanaforce niwaambie sasa sitaweza nikisema kwa MTU si ndiyo tayari nitakuwa nimetoa siri?, shida yangu ni process gani nifanye ili kuondoa magumashi
Kama taarifa hii niyakweli basi tambua we we umeshakuwa Billionea wa kutubwa Duniani, lakini uwe makini mno Kosa moja tu watu wanatajirikia Mgongoni kwako arafu we unaendelea kusota kama kawaida.

Kuna jamaa anaitwa Eron Mask wasiliana nae omba appointment nae kutana nae personally ukiwa na wanasheria wako ingia nae Deal. Ukiteleza kidogo tu imekula kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, reyzzap , tafadhali weka neno kwenye uzi huu.
hahaaa Mtoa mada kapita gengeni kwangu tangu juz kununua bangi, nikamwambia wewe kwa kichwa chako hii haitakufaa, akasema anaenda wapa Mbwa wake, Maskn wa Mungu kumbe kala yeye, Ona sasa anavyoniabisha humu Jf, Huku mtaani anasema ushuz wake n gesi asilia watu wakajaze kwake, humu anazunguka zunguka anataka apate neno mbadala la ushuz
 
Wakuu acheni kumtisha mtoa mada labda kweli kafanya invention mpya.

Mi ningemshauri mtoa mada audhihirishie umma wa JF kuwa hii gesi yake ni ya kweli kwa kuwachagua members 4 wa humu JF then awajazie hiyo gesi yake kwenye mitungi hiyo then waitumie walau hata kwa miezi 6 kisha km ni kweli walete ushuhuda hapo nadhani sie wote tutakupa support ya hali na mali ili uweze sajili hiyo technolojia yako na hakika hapo ndipo umasikini wako utakapokuwa umefikia kikomo

sawa mkuu
 
Mara ya kwanza ilikuwa kama masihala baada ya gas kuisha nikiwa sina hata tsh kumi mfukoni, niliwaza sana siku hiyo, nikampigia jamaa yangu aniazime japo pesa kidogo bahati mbaya naye hakuwa na kitu kabisa,njaa ilivyozidi kuuma nilirudi tena jikoni nikawasha gas lakini sikufanikiwa ilikuwa imekwisha na mtungi niliunyanyua ulikuwa mwepesi:

Nilirudi kitandani nikasali halafu nikajilaza chali nikitizama darini.

Aisee Lilikuja wazo pale, lilikuwa ni wazo ambalo kama la kipuuzi sana lakini kwa njaa niliokuwa nayo sikuwa na namna niliamua kufanya!

ni wazo ambalo halikuwa na gharama kwasababu kila kitu kilikuwepo,Ni wazo lenye mbinu ya sayansi ya form two, Wala siyo mambo makubwa, Wala hayana mbwembwe kama za Monocotyledon na dicotyledon!

Nilitumia mbinu local kabisa! Gas ilijaa na ule mtungi nikaunyanyua ulikuwa mzito;
nilipikia kwa miezi haikuisha, Mwanzo niliogopa lakini hadi sasa hivi nakaribia mwaka gas haishi, wakati mwanzo kila baada ya miezi miwili nilikuwa najaza (exchange)

Katika kuhakikisha hilo nilinunua mtungi wa kampuni nyingine nikampa mtu atumie hadi iishe halafu anipatie mtungi, nilitumia mbinu ileile kuujaza nao umekubali, Hakika Sijaivujisha mbinu hii kwa mtu yoyote yule.

Nipo hapa natafakari nifanyeje ili nitajirike kupitia ubunifu huu je nitumie njia gani kutengeneza usalama wangu na wa wazo hili ili wenye nguvu wasinitapeli?

Pia Najiuliza vibari vya ubora nitapataje?
Ninapikia kila kitu hadi maharage yanaiva fasta tu.

Naombeni ushauri wenu wadau ili tufanikishe hili, wallah ikitiki tutafurahi wote, naendelea na uvumbuzi zaidi ili kufahamu naweza recycle mara ngapi kabla ya kubadili mtungi mwingine, lakini hadi sasa hivi sijabadili mtungi na gasi imo haiishi karibu mwaka sasa.

Note; Gasi hii naizalisha kwa kutumia mtungi uloisha gas tunayobadili madukani (original.) ya makampuni mbalimbali kama I.e Oryx's, mihan,lake n.k

KARIBUNI WADAU

Nachohitaji kutoka kwenu in ushauri Wa utaratibu za kufanya kihalali na kutengeneza security; kuna watu wanaforce niwaambie sasa sitaweza nikisema kwa MTU si ndiyo tayari nitakuwa nimetoa siri?, shida yangu ni process gani nifanye ili kuondoa magumashi
Kama hii?
IMG_20180820_081311.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom