Nimegundua madaktari wengi wanaoa wagonjwa wao!

Kila mtu anakutana na watu wengi mahala pake pa kazi, na pale mahala unapokutana na wengi ndio mahala ambapo likelihood ya kupatia mwenza ipo! Ndio maana wapenda disco wanakutana disco, wapenda kusali wanakutana kanisani, waenda bar wanakutana bar, makonda wanakutana kwenye dala dala (kila mara anapanda hilo gari mpaka wanazoeana na kuanza kupunguziana nauli), walimu wanaoa wanafunzi wao etc etc
 
Siyo kweli,huo ni mtazamo fanya utafi wa kutosha..maana wengine wanasema always dr vs nurse, dr vs dr, dr vs mwalimu...

Jaribu kufanya utafiti na wewe mkuu, watu wengi wanaingia katika mahusiano na watu wanao onana nao katika mazingira ya kazi zao kila wakati!
 
Mind you daktari akikutana na mtu hata kama ni baa at some point ataanza ataulizwa anything to do with health...mara utaskia afadhali kumbe we dr sasa dr nina tatizo....pili u ought to consider the number of people daktaru anainteract nao na ujue wangapi ana fall nao in lov....or the other way round angalia ndaktari kadate watu wangapi then tuone wangapi walikuwa immediate patients wake....mind you dr patient relationship haiishi mgonjwa akipona....wagonjwa wengi wanapenda kukeep in touch with drz just in case akiugua tena in the future asipate shida...then tujiulize how do people fall in lov....tstzo ni kuwa ur argument ina suggest as if simply because ur a patient to a dr therefore u likely to be more confident and eventually fal in lov..its a bit pragmatic

Hiyo sentensi ya mwisho mbona imepingana na maelezo yako!?? Au ni kimombo mkuu dokta!



BTW hizo huwa stereotypes ama generalizations kama maaskari kuwaoa wanaokujaga vituoni kuleta malalamiko, watuhumiwa or the likes!
 
Habari wana MMU,.

Ninafahamiana na madaktari wengi ambao nimepata kufanya kazi nao nyakati tofauti tofauti katika maisha yangu.

Wengi wao nilipotaka kupata historia zao katika mahusiano na hasa walipataje mke waliniambia madaktari wengi wanawaoa wagonjwa wao wanaofika mahospitalini kwa matibabu.

Nilistaajabu sana iweje daktari amuoe mgonjwa wake? Majibu ni kwamba daktari anapomtibu mgonjwa wake akapona vizuri hujenga imani kubwa sana na daktari wake hivyo endapo mwanamke huyo atakuwa bado hajaolewa daktari akimtaka awe mke wake wengi wao huwa hawakatai ombi hilo.

Wakuu naomba kupata mitazamo yenu pia Juu ya hili.

Nawasilisha,...
Hata waalimu pia, hasa wa vyuo, huoa wanafunzi wao. Ni hali iliyopo ambayo haizuiliki.
 
Hiyo sentensi ya mwisho mbona imepingana na maelezo yako!?? Au ni kimombo mkuu dokta!



BTW hizo huwa stereotypes ama generalizations kama maaskari kuwaoa wanaokujaga vituoni kuleta malalamiko, watuhumiwa or the likes!

Mkuu..i meant to say simply because the idea seems to work..with defined logical path way...does not necessarily mean we have enough evidence to conclude...hapa katika line ya argument ya mtoa mada kuna potential BIAS...so huwez kuconclude based on that....in other words numbers speak for themselves
 
Mimi natoa mifano ya kweli Dada yangu kaolewa na Daktari wakati yeye ni Nurse, jirani yangu mume ni daktari wakati mkewe ni mwalimu. Shemeji yangu ni Daktari wa Jeshi, mkewe ni Nurse. Family friend wetu ni Daktari na mke wake ni nurse, hiyo ni mifano ya kweli ninayoijua.
 
Jamani, sasa daktari akaoe mfungwa? Labda we daktari wa magereza.

Waswahili wanasema, kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.

Walimu wanaoa wanafunzi, kama huamini angalia vyuoni.

Wanafunzi wanaoana wao kwa wao.

Sioni ajabu, ingekuwa ajabu kama madaktari wangeoa sana waganga wa kienyeji, ngestukia dawa zao.
 
Back
Top Bottom