Nimegundua kwanini wanaJF huitana "Mkuu"

Habarini wakuu!

Kama ilivyo kawaida yetu humu ndani tumezoea sana kuitana WAKUU bila kujali unayemwita ni kweli ni Mkuu au la!
Humu ndani kuna wazee na wajukuu zao, wazazi na watoto wao, watu waliotalakiana, wenye vyeti feki na halali, misukule na watu timamu: Lakini utamaduni wetu ni huu wa kuitana MKUU.

Nimegundua Kwanin tunalitumia sana neno MKUU;
Kwanza, humu ndani wengi tunatumia ID na AVATAR feki hivyo kila mmoja ana HOFU na mwenzake. Kuchati na mtu usiyemfahamu kunahitaji Busara yaweza kuwa unacomment thread ya babu yako, au mama au boss wako kazini Ndiyo maana wengi tunatumia neno MKUU.

Pili nadhani wengi wetu tunatumia MKUU ili tusitukanwe, wengi humu ukiwaquote na kucomment vibaya wanarudisha majibu ambayo yatakuharibia Siku na mood ya kufanya kazi itaisha.

Tatu, wengi wakianzisha Uzi hasa unaohitaji mchango wa mawazo, hutumia sana WAKUU ili kuvuta watu watiririke nondo za maana na kwakuwa tumeshavimbishwa bichwa kwa kuitwa wakuu, wengi tunauvaa uhusika wa UKUU ipasavyo.

Haya WAKUU, Mimi nimegundua hayo, ongeza na lako kama lipo.
JF hakuna misukule, tengua kauli kabla hujapata laana.
 
WE jamaa kumbe ni lioga kishenz..
Jana ukashindwa kusema wazi kuwa zile picha tatu ni Wakatoliki wanaabudu sanamu.. Sijui ulikua unamuogopa nani!!!
Nimekudharau kinyama nyama!!
Najua wewe sio muga, hebu weka picha na majina yako
 
Mi nafikiri ungetumia akili na mda wako kufikiria utakuaje Dangote wa tz, ungekua mbali.
 
Habarini wakuu!

Kama ilivyo kawaida yetu humu ndani tumezoea sana kuitana WAKUU bila kujali unayemwita ni kweli ni Mkuu au la!
Humu ndani kuna wazee na wajukuu zao, wazazi na watoto wao, watu waliotalakiana, wenye vyeti feki na halali, misukule na watu timamu: Lakini utamaduni wetu ni huu wa kuitana MKUU.

Nimegundua Kwanin tunalitumia sana neno MKUU;
Kwanza, humu ndani wengi tunatumia ID na AVATAR feki hivyo kila mmoja ana HOFU na mwenzake. Kuchati na mtu usiyemfahamu kunahitaji Busara yaweza kuwa unacomment thread ya babu yako, au mama au boss wako kazini Ndiyo maana wengi tunatumia neno MKUU.

Pili nadhani wengi wetu tunatumia MKUU ili tusitukanwe, wengi humu ukiwaquote na kucomment vibaya wanarudisha majibu ambayo yatakuharibia Siku na mood ya kufanya kazi itaisha.

Tatu, wengi wakianzisha Uzi hasa unaohitaji mchango wa mawazo, hutumia sana WAKUU ili kuvuta watu watiririke nondo za maana na kwakuwa tumeshavimbishwa bichwa kwa kuitwa wakuu, wengi tunauvaa uhusika wa UKUU ipasavyo.

Haya WAKUU, Mimi nimegundua hayo, ongeza na lako kama lipo.
Umetisha sana mkuu
 
Nimekuelewa Mkuu,
Uko sahihi
 
m binafsi natumiaga neno mkuu nikiwa sina uhakika na jinsia ya yule ninaye mquote
 
Jamii forum ni mtandao ambao watu wanawasiliana kinafsi zaidi,sio katika ulimwengu wa kawaida.hivyo tupo kwenye ulimwengu mwingine ambao majina yetu ya kawaida hayana nafasi wala uzito tena,huku ni ulimwengu mwingine ambao uwezo wa mtu hautazamwi wala kupimwa kwa umri au elimu bali anachokiandika.

Huu ni mfano wa maisha baada ya kifo kila mmoja hatakuwa na uwezo wa kuuona mwili wa mwenzie bali tutambuana kwa madaraja yetu na SOTE TUTAITANA KWA JINA MOJA NA KUELEWANA.

MAJINA KAMA WATEULE,WALOKOLE YATAFAA HUKO NA SIO HAPA.

KAMA UMENIELEWA HILO NDIO LENGO LANGU,KAMA BADO SUBIRI UFE UTANIELEWA.
 
Binafsi nadhani Ni mazoea tu, hakuna lingine.

Wapo wanaoitwa Mkuu na busara zao hazijifichi kamwe, Wapo wanaotukanwa na bado wanaendelea kuwa na majibu mazuri.Matumizi "Fake" ya Avatars na Usernames hazibadilishi uhalisia wa Nasi na Mioyo yetu.

Asalaam.
 
kweli jf n
WHERE WE DARE TO TALK OPENLY

Jf kila kitu utakipata kaz n yako kuchanganua, Asubuh na mapema leo nimeamka thread ya kwanza n jamaa amepost akisema ameacha kutumia neno MKUU, kwa iman yake akasema ni kumtukuza ibirisi.
 
Jamii forum ni mtandao ambao watu wanawasiliana kinafsi zaidi,sio katika ulimwengu wa kawaida.hivyo tupo kwenye ulimwengu mwingine ambao majina yetu ya kawaida hayana nafasi wala uzito tena,huku ni ulimwengu mwingine ambao uwezo wa mtu hautazamwi wala kupimwa kwa umri au elimu bali anachokiandika.

Huu ni mfano wa maisha baada ya kifoo kila mmoja hatakuwa na uwezo wa kuuuona mwili wa mwenzie bali tutambuana kwa madaraja yetu na SOTE TUTAITANA KWA JINA MOJA NA KUELEWANA.

MAJINA KAMA WATEULE,WALOKORE YATAFAA HUKO NA SIO HAPA.

KAMA UMENIELEWA HILO NDIO LENGO LANGU,KAMA BADO SUBIRI UFE UTANIELEWA
Heshima kwako Ndg Mwene chungu .

Umeandika yanayopaswa kuandikwa, si unachojisikia kuandika.Kiukweli mimi naunga mkono juhudi za dhati kabisa za members wengi kutumia "Fake usernames".Hii imesaidia kuondoa sintofahamu miongoni mwetu, pia inamfanya mwenye Mawazo pevu, (+ve) nk aonekane bora zaidi kuliko ambavyo tungetumia majina yetu sahihi.

Pia imeongeza Uimara, Ubora na Heshima kubwa kwa Jamii Forums.
 
Back
Top Bottom