Mkuu utafiti wako ni feki hakuna chochote nakuomba urudie na uchukue sampuli kubwa ili uje na majibu sahihi.Habarini wakuu!
Kama ilivyo kawaida yetu humu ndani tumezoea sana kuitana WAKUU bila kujali unayemwita ni kweli ni Mkuu au la!
Humu ndani kuna wazee na wajukuu zao, wazazi na watoto wao, watu waliotalakiana, wenye vyeti feki na halali, misukule na watu timamu: Lakini utamaduni wetu ni huu wa kuitana MKUU.
Nimegundua Kwanin tunalitumia sana neno MKUU;
Kwanza, humu ndani wengi tunatumia ID na AVATAR feki hivyo kila mmoja ana HOFU na mwenzake. Kuchati na mtu usiyemfahamu kunahitaji Busara yaweza kuwa unacomment thread ya babu yako, au mama au boss wako kazini Ndiyo maana wengi tunatumia neno MKUU.
Pili nadhani wengi wetu tunatumia MKUU ili tusitukanwe, wengi humu ukiwaquote na kucomment vibaya wanarudisha majibu ambayo yatakuharibia Siku na mood ya kufanya kazi itaisha.
Tatu, wengi wakianzisha Uzi hasa unaohitaji mchango wa mawazo, hutumia sana WAKUU ili kuvuta watu watiririke nondo za maana na kwakuwa tumeshavimbishwa bichwa kwa kuitwa wakuu, wengi tunauvaa uhusika wa UKUU ipasavyo.
Haya WAKUU, Mimi nimegundua hayo, ongeza na lako kama lipo.
CHIKIRA MTABARI jina baya ka mzizi wa jiwe!! Ptuuuuuuuuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kaukwel kwenye hili mkuuMwisho wa siku unaweza ukawa una mqoute mkeo nae unamuita mkuu, kisa hatujuani.
hahahahahahah shemeji hahahahaahahaha nimecheka kwa sauti, mwambie mwambie huyo "Padri" uchwaraUkitaka watu wasikuvamie, bebea hela kwenye gunia chafu chafu.
Hii ndo style anayoitumia CHIKIRA MTABARI, ukiona jina na avatar unapotea zako, ila tunaojua nini kimo ndani tunabaki.
Umemtuliza vizuri sana...Yaani huyu jamaa nimemstukia....na issue za magari!Ukitaka watu wasikuvamie, bebea hela kwenye gunia chafu chafu.
Hii ndo style anayoitumia CHIKIRA MTABARI, ukiona jina na avatar unapotea zako, ila tunaojua nini kimo ndani tunabaki.
Kweli mkuu, hizi ID fake hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kaukwel kwenye hili mkuu
hahahahahahah shemeji hahahahaahahaha nimecheka kwa sauti, mwambie mwambie huyo "Padri" uchwara
hahahahahah hizi avatar zangu hata Mondray kila mara anani sihi eti nizitoe hahahahahahaaMwache ajichanganye tu, huyo ni admirer kimoyomoyo ila anazuga anahate.
Mimi shemeji nakwambia kila siku endelea kuwachanganya na avatar hizo, wamezoea wakiona avatar nzuri wanakimbilia PM