Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,627
hahahahahah hizi avatar zangu hata Mondray kila mara anani sihi eti nizitoe hahahahahahaa
Ha ha ha, mimi shemeji nakwambia endelea kuweka hizo hizo tu.
hahahahahah hizi avatar zangu hata Mondray kila mara anani sihi eti nizitoe hahahahahahaa
urakoze urakozeHa ha ha, mimi shemeji nakwambia endelea kuweka hizo hizo tu.
mkuu hiyo avatar jana ilikuwa inatumika kwa namna nyingine😀😀Mmmmh mkuu nimeipenda hiyo avatar yako
Kweli kabisa Mkuu nahisi wew ni mfanyakazi hapa ofisini kwangu .... MaanaHabarini wakuu!
Kama ilivyo kawaida yetu humu ndani tumezoea sana kuitana WAKUU bila kujali unayemwita ni kweli ni Mkuu au la!
Humu ndani kuna wazee na wajukuu zao, wazazi na watoto wao, watu waliotalakiana, wenye vyeti feki na halali, misukule na watu timamu: Lakini utamaduni wetu ni huu wa kuitana MKUU.
Nimegundua Kwanin tunalitumia sana neno MKUU;
Kwanza, humu ndani wengi tunatumia ID na AVATAR feki hivyo kila mmoja ana HOFU na mwenzake. Kuchati na mtu usiyemfahamu kunahitaji Busara yaweza kuwa unacomment thread ya babu yako, au mama au boss wako kazini Ndiyo maana wengi tunatumia neno MKUU.
Pili nadhani wengi wetu tunatumia MKUU ili tusitukanwe, wengi humu ukiwaquote na kucomment vibaya wanarudisha majibu ambayo yatakuharibia Siku na mood ya kufanya kazi itaisha.
Tatu, wengi wakianzisha Uzi hasa unaohitaji mchango wa mawazo, hutumia sana WAKUU ili kuvuta watu watiririke nondo za maana na kwakuwa tumeshavimbishwa bichwa kwa kuitwa wakuu, wengi tunauvaa uhusika wa UKUU ipasavyo.
Haya WAKUU, Mimi nimegundua hayo, ongeza na lako kama lipo.
Wee hebu nitolee UGULAGULA wako hapa, koma kuni tagi tagiTakbiiiir... Allahu Akbar.
CHIKIRA MTABARI
Raimundo
Miss Natafuta
ligema274
ISIS
yomboo
Eudorite
V Kweli Tupu
haya mkuuHabarini wakuu!
Kama ilivyo kawaida yetu humu ndani tumezoea sana kuitana WAKUU bila kujali unayemwita ni kweli ni Mkuu au la!
Humu ndani kuna wazee na wajukuu zao, wazazi na watoto wao, watu waliotalakiana, wenye vyeti feki na halali, misukule na watu timamu: Lakini utamaduni wetu ni huu wa kuitana MKUU.
Nimegundua Kwanin tunalitumia sana neno MKUU;
Kwanza, humu ndani wengi tunatumia ID na AVATAR feki hivyo kila mmoja ana HOFU na mwenzake. Kuchati na mtu usiyemfahamu kunahitaji Busara yaweza kuwa unacomment thread ya babu yako, au mama au boss wako kazini Ndiyo maana wengi tunatumia neno MKUU.
Pili nadhani wengi wetu tunatumia MKUU ili tusitukanwe, wengi humu ukiwaquote na kucomment vibaya wanarudisha majibu ambayo yatakuharibia Siku na mood ya kufanya kazi itaisha.
Tatu, wengi wakianzisha Uzi hasa unaohitaji mchango wa mawazo, hutumia sana WAKUU ili kuvuta watu watiririke nondo za maana na kwakuwa tumeshavimbishwa bichwa kwa kuitwa wakuu, wengi tunauvaa uhusika wa UKUU ipasavyo.
Haya WAKUU, Mimi nimegundua hayo, ongeza na lako kama lipo.
hahahahaaaa we jamaa umesababisha nishangawe kwenye daladala kwa kucheka kwa sauti!Na yeye kuna mahali kasema hivyo, kwamba nikisha kujibu kwa kukuita mkuu, unaona kabisa nakuwa nimekuheshimu hivyo hata wewe utanijibu kiheshima hata kama tunatofautiana hoja.
Ila kuna wale jamaa waliokunywa bendera za vyama hata uoneshe kuwaheshimu vipi lazima watakushushia tu.
Kwa taarifa tu .. MKUU NI KUHESHIMIANA. uwe lofa au kamanda au wa buku7 we ni MKUU tuHabarini wakuu!