Safi kabisa, sasa onyesha ujinga wangu. Yaani hili siyo wewe tu mpaka wakubwa zako hawawezi kuonyesha kuonyesha ujinga katika haya ninayo yaandika.Kama hakuna, mbona we umeweza?
Safi kabisa, sasa onyesha ujinga wangu. Yaani hili siyo wewe tu mpaka wakubwa zako hawawezi kuonyesha kuonyesha ujinga katika haya ninayo yaandika.Kama hakuna, mbona we umeweza?
Mpaka hapa nilipofika sijaacha swali ambalo halijajibiwaJibu swali.
Ukiwa mjinga ukioneshwa ujinga wako, utajuaje kua huu ni ujinga wakati ni mjinga?Safi kabisa, sasa onyesha ujinga wangu. Yaani hili siyo wewe tu mpaka wakubwa zako hawawezi kuonyesha kuonyesha ujinga katika haya ninayo yaandika.
Wewe ni mtu mzima! Hivyo hayupo wa kukupangia katika hayo maamuzi yako. Ingawa sihapata picha kama una mke mcha Mungu na watoto! Naamini watakuona uko confused.View attachment 2099557
Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu.
Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo.
Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu.
Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi wa Mungu.
Waislamu kwa kitabu chao watakuthibutishia uwepo wake, Wahindu, Wabudha, Waktisto n.k watakuthibutishia uwepo wa Mungu kwa maandiko na hadithi tu ila hawataweza kukuthibitishia kwa njia nyingine ya reality.
Kwa taabu wanazopata watu duniani ni kama nature ndio inatawala.
Haiwezekani Mungu ambaye wanasema aliupenda ulimwengu aruhusu vita, ubakaji, kuchinjana, kudhulumiana, ufukara, njaa n.k huku hivyo vitu ni vidogo kwake angevikomesha ndani ya sekunde.
Je, Mungu kazidiwa utu na upendo na mwanadamu?
Hii amani na hali ya maendeleo tunayoiona ni fikra na utu wa binadamu kwa ulimwengu.
Binadamu anaunda mabaraza ya kitaifa kupambana na majanga mbalimbali, pasipo na haya mabaraza Dunia isingekalika kabisa kwa idadi hii ya watu ilivyo kwa sasa.
Illusion ndizo zinatawala watu ndio maana kila dini na dhehebu wanajiona kuwa wako sahihi na wana ushahidi kuwa dhehebu lao ndilo sahihi mbele za Mungu na wao tu ndio wataingia mbinguni au peponi.
View attachment 2099556
Binadamu kaumba nini ?Hizo ni blabla tu haya nikuulize na wewe ni nani aliyetengeneza huyo Mungu na kumpa uwezo wa kutengeneza hivyo unavyodai ni Kazi yake Yaani Ulimwengu vitu vyote?
Maana kama unaamini binadamu aliumbwa lazima muumbaji ana muumbaji wake pia maana hiyo ndio kanuni ya maisha katika ulimwwngu wetu!
Na atuambie hiyo nature imetengenezwa na nani?Nimekunote sehem hapo unasema NATURE ndio inatawala? Unaweza kutuambia hiyo nature ninini? tuanzie hapo
I concur.View attachment 2099557
Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu.
Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo.
Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu.
Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi wa Mungu.
Waislamu kwa kitabu chao watakuthibutishia uwepo wake, Wahindu, Wabudha, Waktisto n.k watakuthibutishia uwepo wa Mungu kwa maandiko na hadithi tu ila hawataweza kukuthibitishia kwa njia nyingine ya reality.
Kwa taabu wanazopata watu duniani ni kama nature ndio inatawala.
Haiwezekani Mungu ambaye wanasema aliupenda ulimwengu aruhusu vita, ubakaji, kuchinjana, kudhulumiana, ufukara, njaa n.k huku hivyo vitu ni vidogo kwake angevikomesha ndani ya sekunde.
Je, Mungu kazidiwa utu na upendo na mwanadamu?
Hii amani na hali ya maendeleo tunayoiona ni fikra na utu wa binadamu kwa ulimwengu.
Binadamu anaunda mabaraza ya kitaifa kupambana na majanga mbalimbali, pasipo na haya mabaraza Dunia isingekalika kabisa kwa idadi hii ya watu ilivyo kwa sasa.
Illusion ndizo zinatawala watu ndio maana kila dini na dhehebu wanajiona kuwa wako sahihi na wana ushahidi kuwa dhehebu lao ndilo sahihi mbele za Mungu na wao tu ndio wataingia mbinguni au peponi.
View attachment 2099556
Nini maana ya neno Kuumba tuanzie hapo!Binadamu kaumba nini ?
Kwanini asiwe mungu wa Babu yako??Namwomba Mungu wa Sauli akuongoze upate maaarifa
uchawi Ni Nini?Ajabu sana watu kama nyie likija suala la uchawi mishipa huwatoka kuutetea kwamba upo na hamhitaji uthibitisho!
Wachaneeeeeeeeeeeeee!!!!!!!Hao zamadamu walitokea wapi? a de novo synthesis, siyo? au miamba ilipasuka paaaaaaaaaaaa kiumbe kikatokea, waabudu shetani mna shida sana.....😀
Washapoteana......Wachaneeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
Uwepo Wangu Mimi hautegemei Uwepo wa huyo Mungu wenu na Wala haijawahi na haitakuja kutokea nikawa na ushirika na kitu ambacho hakipo katika uhalisia!
Ila mkuu utawezaje kujua kuwa huu kweli ni uthibitisho wa Mungu hata ikitokea mtu akakupa huo uthibitisho?Mpaka hapa nilipofika sijaacha swali ambalo halijajibiwa
Kuna mahali umethibitisha mungu yupo?
Ni imani kama imani nyingineuchawi Ni Nini?
Kama ambavyo mtu wa dini tofauti na yako anayesema Mungu wako ni wa uongo na Mungu anayemuabudu yeye ndo wa ukweliIla mkuu utawezaje kujua kuwa huu kweli ni uthibitisho wa Mungu hata ikitokea mtu akakupa huo uthibitisho?
Ingekuwa hivyo basi ungekubali Mungu ninayemkubali mimi kuwa yupo na ndio Mungu wa kweli kwa hivyo vigezo vyangu ambavyo ndio nimevitumia hadi nikamkubali, ila wewe una vigezo vyako na ndio maana huna Mungu uliyemkubali na ukamuamini kwa sababu hakuna aliyekuwa na hivyo vigezo vyako.Kama ambavyo mtu wa dini tofauti na yako anayesema Mungu wako ni wa uongo na Mungu anayemuabudu yeye ndo wa ukweli
Akakuambia yuko tayari akuthibitishie, vigezo utavyotumia wewe kupima kujua uthibitisho wa kweli ama wa uwongo havitatofautiana sana na vigezo nitavyotumia mimi kupima uthibitisho wa Mungu wako unayetaka kunithibitishia
Hujaelewa hojaIngekuwa hivyo basi ungekubali Mungu ninayemkubali mimi kuwa yupo na ndio Mungu wa kweli kwa hivyo vigezo vyangu ambavyo ndio nimevitumia hadi nikamkubali, ila wewe una vigezo vyako na ndio maana huna Mungu uliyemkubali na ukamuamini kwa sababu hakuna aliyekuwa na hivyo vigezo vyako.