discount supermarket
Member
- Jul 7, 2019
- 48
- 144
- Thread starter
- #61
Nauza bidhaa za nyumbani boss. U naletewa Hadi nyumbaniWateja wa nini mkuu?
Nauza bidhaa za nyumbani boss. U naletewa Hadi nyumbaniWateja wa nini mkuu?
Itapendeza kama utaniletea mwenyewe,maana mimi pia niko singleNauza bidhaa za nyumbani boss. U naletewa Hadi nyumbani
Na mm nataka hizo si upo hapa hapa mjini.....Ninazo za bulls caton elfu kumi na Saba zipo pkt 24 karibu sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Siuzi vyura boss wangu
Mfundishe mgeniUnatuuliza sie au umejiuliza mwenyewe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ha ha ha we bado mtoto!Leta fursa za biashara mkuu..
Sio yale mambo ya kuprove by mathematical induction??
Au tufanye permutation and combination?
Mwenyeji huyuMfundishe mgeni
Kuna ubaya nami kusamarazi ulichokiandika?Kuna ubaya kwani kujitambulisha?
Ninazo.upo wapi ninampa bodaboda aleteNa mm nataka hizo si upo hapa hapa mjini.....
Muogope Mungu Mimi sifanyi umalayaMoving pussy
Achana naye huyo hebu njoo PM tuyajengeMuogope Mungu Mimi sifanyi umalaya
Yaani order za mji mzima anampeleka mwenyewe 😂 😂 umejulikanaKama hauajiri boss lady utapataje mafanikio makubwa yaliyo kwa ndoto yako
Samahani dada ni kuanzia kilo ngapi za mchele ndio unaanza ku supply? Mimi nataka kilo 12 unaweza kuniletea hapa nyumbani buzuruga?Muogope Mungu Mimi sifanyi umalaya
Hata kilo moja utaletewa boss.hata chumvi tunaleta.ila wewe ndo unalipia usafiriSamahani dada ni kuanzia kilo ngapi za mchele ndio unaanza ku supply? Mimi nataka kilo 12 unaweza kuniletea hapa nyumbani buzuruga?
Nina bodaboda wa kutosha boss karibuYaani order za mji mzima anampeleka mwenyewe [emoji23] [emoji23] umejulikana
Kwani nyie ofisi zenu zipo wapi ili nipime gharama ya usafiriHata kilo moja utaletewa boss.hata chumvi tunaleta.ila wewe ndo unalipia usafiri