Nimefurahi kuja kupata marafiki hapa

Nimefurahi kuja kupata marafiki hapa

Unahitaji marafiki au booster
Ongea vizuri ueleweke
 
Ananiuliza mimi kuna comment nimemwambia "okay welcome back @ whatever your former id was" sema nimeifuta kabla hajaiquote ndo maana ni kama kajiuliza mwenyewe
Ahaa kwa hiyo unaamini ana former I'd?
 
Nasupply bidhaa zote za nyumbani.mafuta,sabuni,unga etc.kila kitu kwa Bei nzuri.mimi Ni moving supermarket.unaniagiza chochote utaletewa Hadi nyumbani kwako ndo ulipie
Hakuna kitu kinaitwa moving supermarket! Narudia tena wewe mama ebu ongea vizuri tukuelewa unaweza fikiriwa ni forever living huwa mnakuja hivi hivi
 
Hakuna kitu kinaitwa moving supermarket! Narudia tena wewe mama ebu ongea vizuri tukuelewa unaweza fikiriwa ni forever living huwa mnakuja hivi hivi
Kama huniamini niambie unaitaji bidhaa gani nyumbani kwako uletewe boss.mimi sio forever
 
-Nipo single
-Ni mfanyabiashara
-Natafuta marafiki

Kwenye hesabu hivi vitu vina relate kama ukifanya cross multipication tu...teh teh
Afadhali umewarahisishia vijana chief, maana vijana wanajing'ata tu kucha kwa kushindwa hesabu...teh[emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom