discount supermarket
Member
- Jul 7, 2019
- 48
- 144
- Thread starter
- #41
Hapa pesa tu,sitaki mapenzi wala siasaNimekukubali kwa mbinu yako, Safi sana mdada yaani hapa business tu [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hapa pesa tu,sitaki mapenzi wala siasaNimekukubali kwa mbinu yako, Safi sana mdada yaani hapa business tu [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kesho nitaweka namba zangu za biashara na picha ili tufanye biashara karibuni sana
Umefanya jambo jema tela lenye kuleta kheri kwa kuunganisha familiaNimekosea kujitambulisha?
Nafikiri wakubwa tumekuelewa kama alivyosema Watu 8Nimekosea kujitambulisha?
Sio yale mambo ya kuprove by mathematical induction??-Nipo single
-Ni mfanyabiashara
-Natafuta marafiki
Kwenye hesabu hivi vitu vina relate kama ukifanya cross multipication tu...teh teh
Ninazo za bulls caton elfu kumi na Saba zipo pkt 24 karibu sanaHivi hata ndomu unasupply hadi kwenye mageto yetu nipo tayari kutoa order lady supply
Ninao wafanyakazi wa kunitosha kwa Sasa boss.Kuajiri ndo umekataa au?
Kwa kifupi unaebishana nae hapo ndio mtoa uzi mwenyew[emoji23][emoji23]Ahaa kwa hiyo unaamini ana former I'd?
Ok ni tajuaje kama ziko kwa viwango vinavyotakiwa ili nijirizishe ziko poa utakuwa na sampo hapo mkuuNinazo za bulls caton elfu kumi na Saba zipo pkt 24 karibu sana
Wewe sio mtumia condom wewe.wasio watumiaji mna visingizio sana tunawajuaOk ni tajuaje kama ziko kwa viwango vinavyotakiwa ili nijirizishe ziko poa utakuwa na sampo hapo mkuu
Unfanya biashara au unapima upepo wa wanajamii forum kama uko serious utakuja pm mwenyeweWewe sio mtumia condom wewe.wasio watumiaji mna visingizio sana tunawajua
Wewe sio mtumia condom wewe.wasio watumiaji mna visingizio sana tunawajua
Wateja wa nini mkuu?Mimi Ni mtu mzima kabisa.naomba muwe wateja wangu kwanza
Asante sana .Mimi mtu mzima nishaona mengi.naelewa penye wengi pana mengi pia.binadamu kaziKaribu SNA mumy, ila humu jukwaan vumilia yotee. Kuna watu wanajua kukatisha tamaa,
Kuna watu wanajifanya much know
Kuna watu wakukosoa hata jambo jema.
Usikatishwe tamaa na MTU, kwa maneno yke yasio faa, yenye kuumiza
Mwisho, humu ndani watu hatujuani, ucjiachie SNA ukaweka kila kitu public kama PC zako nk.
Wataishia kukusanifu na kukuvunja moyo.
Karibu sna. MMU tunapenda wagen
Karibu sana tukuhudumieMimi mwenyewe nimefurahi kuona bandiko lako