Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?

Wewe mwenyewe ni msafi?
kama wewe HUJAWAHI kutembea nje ya ndoa yako, kiapo chako kitakuwa valid, but kama wewe umeshawahi kutembea nje ya ndoa yako, basi wewe mwenyewe ulishakivunja kiapo chako kitambo sana.. endelea kuwa nae. lolote unalo muapia mwenzio jua umejiapia nawe pia.. ndio mhandisi nionavyo..
Ni ruhusa gani inampa uhuru wa kutembea nje ya ndoa ata kama apati hayo usemayo?
Kiapo ulikula kwa nani?Mungu ama Shetani?Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?
namba moja ukute ishafanya kazi yakeWakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?
Na je akikulisha Limbwata utajuwaje?
inategemea ..........wengine hubadilika ....UNAWEZA KUMRUDIA LAKINI NDO WANASEMA AT YOUR OWN RISKUkimrudia atakupanda kichwani wanawake wengi hutumia udhaifu wa jambo fulani kutawala..kuwa makini ukimrudia