Sijakuelewa ndugu yangu! katika hizo red hapo juu, mke wako amekukosea nini kati ya hayo mawili - kakulisha limbwata au umemfumania?Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo:
1. kunilisha limbwata
2.nikimfumania
lakini hili lime nipata na najishahuri kutekeleza kihapo changu.mke wangu nimwemwambia aende kwao,sijamwambia kuwa nimemuacha.Roho yangu sasa haipo radhi kwani nimemzoea .sasa waungwana nifanye nii?
Sijakuelewa ndugu yangu! katika hizo red hapo juu, mke wako amekukosea nini kati ya hayo mawili - kakulisha limbwata au umemfumania?
Wewe mwenyewe ni msafi?