Posho za lumumba buku 7 ni mshahara piaSijawahi kulipwa mshahara hata siku moja ngoja nitafute ajira nione kusubiria mshahara inakuaje.
Hata kwenye biashara unaweza kupata matatizo vile vileMkuu unamuda gani toka uajiriwe? inaonekana ikitokea ukapata matatizo kazini ukasimamishwa kazi utapata tabu sana...
Ukistaafu utakula mafao yakoHii ndio tabu ya kuajiriwa,akili yote inafikiria kuingiziwa salio,siku tutakayostaafu sijui tutaishie mitaani,
Na mafao nayo matapeli wanayawinda vilevile.Ukistaafu utakula mafao yako
Duh! mafao nayo chaka la matapeli, twafwaaa....Na mafao nayo matapeli wanayawinda vilevile.
Hata kusubiria boom, hujawahi mkuu?Sijawahi kulipwa mshahara hata siku moja ngoja nitafute ajira nione kusubiria mshahara inakuaje.
Salary had kesho mzeeI am in Low Water, nimefulia Kwa kweli. Tegemeo la Kwanza Salary ya Serikali. Mshahara wa Juni 2021 naona umechelewa. Nimesubiri SmS ya sijapata. Wengine kwenu Vipi?
Nitumie Account number, name and CIF yako. PMI am in Low Water, nimefulia Kwa kweli. Tegemeo la Kwanza Salary ya Serikali. Mshahara wa Juni 2021 naona umechelewa. Nimesubiri SmS ya sijapata. Wengine kwenu Vipi?
CIF tena?? Amekua gariNitumie Account number, name and CIF yako. PM
CIF=Customer Information FileCIF tena?? Amekua gari
Hayo mafao utakayoyapata utakuwa unatoa tu,kumbuka tofauti na mtu anayefanya biashara.......wewe angalia wastaafu wengi maisha wanayoishi umeyaonajeUkistaafu utakula mafao yako
, stationaries, meals and accomodation sio salary.