Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,462
Dakika chache kabla ya Makamu wa Rais, Gharib Bilal kufika Mwitongo, wamefika wasichana watatu wa primary school kuniomba chakula.
Nimechukua sahani niende kuwapakulia chakula, ghafla wamefika FFU, nadhani alikuwa FFU mmoja, amevaa bullet proof vest, kaondoka nao, kaenda kuwachapa viboko,watoto wananiambia wamechapwa fimbo kumi kila mmoja.
Basi na Mimi nimeondoka, nimenunua tiketi ya Dar, Kesho narudi Dar. Nimefukuzwa, nimeitwa mbakaji. Hapo mahali walikuwepo wageni wengi, lakini wamekuja hao polisi ambao ndiyo wale wale waliotumwa kwenda Mwitongo mahsusi kwa kumlinda Andrew.
Walikuwepo wageni, Makamu wa Rais, mawaziri kutoka Kenya, mawaziri kutoka Tanzania. Mawazo yangu kuhusu hili jambo? Nataka Lowassa ashinde uchaguzi.